Acha ujinga braza nyie ndo mnapandisha bei za adsense kumpavu taja dau sio mtu ataje bei anayotakaAnayeuza Adsense ya zamani aje nimpe pesa anayoitaka yeye
Unashida alafu unataka utafutwe haupo serious weweMimi Naomba mdau mmoja mwenye experience na blogging anisaidie ujuzi fulani hiv nataka nianze kublog ,niko serious nataka nijiajiri nijiongezee kipato , msaada please .....u can text me 0738680384
Mimi Naomba mdau mmoja mwenye experience na blogging anisaidie ujuzi fulani hiv nataka nianze kublog ,niko serious nataka nijiajiri nijiongezee kipato , msaada please .....u can text me 0738680384
niuzie hiyo adsense boss nina hela nzuriWadau naomba kuuliza ni jinsi gan naeza faya ili CPC iwe kubwa wala ata ifike moja tu View attachment 1167756
Bora nichekeNatengeneza 500usd per day kwa adsense ,kama una adense ya zamani imetoa 5+ na site yake nichek chap tubadilishane ntakupa full tricks za kupiga hzo dola na ww utanipa accnt...nipo mbeya kama utahitaji tuonane phycally its okey karibu
Natengeneza 500usd per day kwa adsense ,kama una adense ya zamani imetoa 5+ na site yake nichek chap tubadilishane ntakupa full tricks za kupiga hzo dola na ww utanipa accnt...nipo mbeya kama utahitaji tuonane phycally its okey karibu
Bora nicheke
Machozi ya SimbaWe cheka