jombi95
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,404
- 2,156
Mbona unahasira sana mkuuPia utuambie na mwaka uliomaliza pamoja na ulipofikia sasa na hiyo Division 1 yako. Yaani ni elimu ilitokufikisha hapo au ni ujanja ujanja tu
Amina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app