Black ma colour
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 733
- 661
Watsup fellas.
Wazee wa kuogea kwenye beseni mpoo? Iwe mdada au braza!
Hii inawahusu wale mnaozamia nyumba za watu kisha mnakaa chumbani kwa mabinti au mabwana afu mbaya zaidi chumba kinakuwa sio self na kutoka kwenda kuoga kwenye vyoo vya public hamuwezi, mda wote chumbani, si baba wala mama anajua!
Siri hubaki kati ya watu wachache ndani ya nyumba.
Ila kuna watu mna uthubutu kwakweli hongereni.
Sent using Jamii Forums mobile app