Wale tuliopata PM za ushindi wa shindano la story of changes na baadae tukaangukia pua njooni tujifariji humu

It's not fair kwa shindano ambalo watu wengi wameandika na kupata zero vote mtu anapata vote 1000 usimpe hata nafasi ya tano? Mnhhhh
Naona unaandika kwa mafeelings ya kufa mtu...

Bahati mbaya hata sijui mnazungumzia nini hapa....

Hii michepuko inanifanya nipitwe na mengi...

Anyway, polesana, japo hata sijui nakupa pole ya kitu gani
 
Back
Top Bottom