Wale tulioomba nafasi za kazi NEC hii inatuhusu..!

Braibrizy

Member
Apr 6, 2014
23
529
03297742-510a-43ab-be37-3694d802733b.jpg
 
Kwanini watangaze Tena watu waombe upya ikiwa wana maelfu ya watu ambao wameomba na wanavigezo kwanini wasiyafanyie kazi maombi ayoayo...waje watoe maelezo ya kina msamaha tu hautoshi.
 
Mkuu hakuna maombi yalopokelewa. Kama ulituma maombi kupitia email iwe yahoo au gmail nenda kwenye Spam folder utakuatana na rejection ya maombi ako na kuna sababu wameeleza pale. So, tusubiri watangaze tena.
 
Mbona nimecheki kwa website yao hilo tangazo LA cancellation halipo kabisa

Ila tuwe na subraa
 
Mm yakwangu ilipokelewa

Back
Top Bottom