Mimi nilipeleka barua yangu ofisini wakanambia imepotea kwenye mazingira ya kutatanisha!Daaah hii ilikuw ni application yangu ya kwanza halaf wameiCancel..Duuh c mkosi Huu..!
Waombaji wengi mlikua wa mlengo wa kushoto.😴😴😴Mzee wa jikoni, kwanini hili zoezi limefutwa?
Kwenye barua za maombi tuliacha kumshukuru na kumpongeza JPM kwa kutoa ajira sioWaombaji wengi mlikua wa mlengo wa kushoto.😴😴😴
Dah kk ww n kma mm pia ni application yang y kwanz tangu nmalize chuoDaaah hii ilikuw ni application yangu ya kwanza halaf wameiCancel..Duuh c mkosi Huu..!
Mkuu hakuna maombi yalopokelewa. Kama ulituma maombi kupitia email iwe yahoo au gmail nenda kwenye Spam folder utakuatana na rejection ya maombi ako na kuna sababu wameeleza pale. So, tusubiri watangaze tena.Kwanini watangaze Tena watu waombe upya ikiwa wana maelfu ya watu ambao wameomba na wanavigezo kwanini wasiyafanyie kazi maombi ayoayo...waje watoe maelezo ya kina msamaha tu hautoshi.
Mkuu hakuna maombi yalopokelewa. Kama ulituma maombi kupitia email iwe yahoo au gmail nenda kwenye Spam folder utakuatana na rejection ya maombi ako na kuna sababu wameeleza pale. So, tusubiri watangaze tena.
hii barua mbona kama feki haina signature wala nini