Haloo watu wapo kimyaa
Labda hawajaita
Ila binadamu tunatofautiana,wengine wanaweza wakaitwa afu wasiseme
Wadau vizuri mtoe information ili ambaye aliomba ajue mchakato imepita na hakubahatika kuwa shortlisted
Hatari Sana
Ila Kama Kuna yeyote alitwa kwa usaili atoe ushuhuda ili wengine was iendelee kuziulizia
Watu msiwe wachoyo wa taarifa
Hizi NGO zinakasumba nyingi mno
NGO huwa washaandaa watu ila huita interview kuonesha utaratibu.ulifatwa
Kama kawaida mzee nipo chimbo nakula nondoMkuu vipi na wewe maandalizi
Yanasonga vizuri
Tarehe 20 hiyooo
pambana
Ila hizi NGO ukiona umepita mwezi hujaitwa basi jua hamna tena.Me nimeachaga kuomba huku.Ila inawezekana bado
Maana haiwezekani hapa jamii forum hasiwepo aliueitwa aisee
Tuseme watu wachoyo wa taarifa kiasi hiki kweli?
Ukiwa na experience ya kufanya kazi kwenye NGO nyingine ni rahisi kua shortlistedIla hizi NGO ukiona umepita mwezi hujaitwa basi jua hamna tena.Me nimeachaga kuomba huku.