Wale tulioomba nafasi za Data Officer za MDH na nyinginezo

sio ajabu

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
217
138
Hello wakuu habari za leo,

Aseeeee nipo hapa kuuliza kwa wale tulioomba zile nafasi za MDH , za data officer na nyinginezo, vipi any update maana nahis mwezi na kitu sasa.

please tell us for general benefit.
 
Haloo watu wapo kimyaa
Labda hawajaita
Ila binadamu tunatofautiana,wengine wanaweza wakaitwa afu wasiseme

Wadau vizuri mtoe information ili ambaye aliomba ajue mchakato imepita na hakubahatika kuwa shortlisted
 
Daahh !! Halafu naona siku hizi hizo habar zipo sana unaona tangazo la kaz unaomba alaf huon mrejesho hata nam yamenikuta sana sielew
 
Tanesco wenyewe walitoa nafasi naona kimya hadi leo cjui walishawekana ndugu zao
 
Hatari Sana
Ila Kama Kuna yeyote alitwa kwa usaili atoe ushuhuda ili wengine was iendelee kuziulizia
Watu msiwe wachoyo wa taarifa
Hizi NGO zinakasumba nyingi mno
 
Ila inawezekana bado
Maana haiwezekani hapa jamii forum hasiwepo aliueitwa aisee
Tuseme watu wachoyo wa taarifa kiasi hiki kweli?
 
Hicho kigezo ndo kibaya Sana
Je kila NGO wakifajya hivyo Nani atakupa kazi,maana kila NGO itasema uzoefu toka NGO nyingine,huu ni ukandamizaji, kigezo waseme uzoefu wa kazi na SI uzoefu wa taasisi au shirika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom