Wadau,

Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!

Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.

Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.

Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.

Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.

Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.

Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.

ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA

KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
Pole kwa changamoto ya ndoa, ushauri wangu kabla ya kuoa tuwe tunachunguza kidogo background ya mke mtarajiwa kwa maana ya malezi na namna alivyokuwa
 
Yeye ndo alikosea kuolewa na wewe.

Corporate women are not for the weak men.

Only Alphas can and believe me, a man can change a woman only if he is man enough.
Hapana. ......ni kwamba Corporate women wengi hawapo kwa ajili ya kuolewa... sana sana ukiona yupo kwenye ndoa basi yeye ndiye mwenye uwezo financially kupita mumewe au mume ameamua kuyapuuzia mambo anayopaswa kufanyiwa na mke......Mbona sasa hivi nimeoa mke ambaye yupo bize na kazi zake lakini anakumbuka kama ana mme kila anapopata nafasi ....na kuna vitu vinavyonihusu ambavyo kamwe haruhusu vifanywe na housegirl......ni kujitambua tu.....acheni uhuni wenu
 
Wataolewa wa makazini sana tu, na spana za kutosha watachezea..tena spana malaya! Hatutaki ujinga sisi, kwani Mungu alisemaje eti, sisi ni vichwa, kichwa gani kikasonga ugali na kuanza kutoa makamasi jikoni
Mnaonaje badala ya kuhangaika na wanawake wa kazini wanawapasua vichwa hadi mnachanganyikwa,kwanini msioe tu wale majobless ili muwatumikishe mtakavyo na muishi bila kufanya kazi yoyote nyumbani kama walemavu!
 
Mnaonaje badala ya kuhangaika na wanawake wa kazini wanawapasua vichwa hadi mnachanganyikwa,kwanini msioe tu wale majobless ili muwatumikishe mtakavyo na muishi bila kufanya kazi yoyote nyumbani kama walemavu!
Kuna wanawake wanafanya kazi nzuri tu ila wameolewa na wanawaheshimu waume wao.

Ninafirikiri utushauri tuoe wanawake wanaojitambua - Haijalishi wameenda shule au la, wafanyakazi au la.
 
Uko sahihi...mimi nilifikia kumwambia kwamba its okay kila kitu afanye houseirl lakini yeye afanye finishing tu ...yaani hata anipakulie tu chakula, au anipangie vizuri nguo zangu ambazo zimeshafuliwa lakini tuliendelea kubishana....
Huyo alikuwa jipu tayari
 
Kuna wanawake wanafanya kazi nzuri tu ila wameolewa na wanawaheshimu waume wao.

Ninafirikiri utushauri tuoe wanawake wanaojitambua - Haijalishi wameenda shule au la, wafanyakazi au la.
Hapa hatuzungumzii heshima mkuu.

Tunazungumzia majukumu na kazi za nyumbani kwa wanandoa ambao wote wanaenda kazini na wote wanarudi nyumbani usiku huku kila mmoja akiwa na mwili wa nyama na amechoka.
 
Uko sahihi...mimi nilifikia kumwambia kwamba its okay kila kitu afanye houseirl lakini yeye afanye finishing tu ...yaani hata anipakulie tu chakula, au anipangie vizuri nguo zangu ambazo zimeshafuliwa lakini tuliendelea kubishana....
Wewe huwezi kukunja mkuu?
 
Oooh!! Hapo sasa ndio tunarudi kule kwa kuchokana
Mtu ulomchoka hata kumuongelesha unaona taabu, hata akiongea point wewe unamuona kilaza tu!

Oaneni marafiki na kwasababu mnapendana ili hicho kipindi kikifikia atleast mtahangaika kutafuta namna za kuendelea kuwa pamoja.

Sie wengine atleast kazi hazitubani sana, natoka mapema nafika home napumzika kidogo then naendelea na majukumu mengine. Mambo ya homework za watoto, kuhakikisha uniforms ziko poa kwaajili ya kesho, kuhakikisha nao wamepata muda wa kupumzika hata kwa lazima. Na advantage kubwa niliyonayo i like cooking na nafurahia sana ninapoandaa chakula kwaajili ya familia.

Hivyo sio kwamba hatufanyi, tunafanya ila tunataka muelewe kuwa haiwezi kuwa hivyo kila siku, kuna siku ambazo inabidi tu msaada uhusike na msione kuwa tusipofanya basi hatuwapendi au tunawadharau.

Lakini kwa wanawake ambao kazi zinawabana sana inapaswa muwe waelewa zaidi, hivyo msitulinganishe kuwa mbona fulani anafanya kama ambavyo tu nanyi hampendi kulinganishwa kuwa mbona Bakhressa ni mwanaume na ni bilionea na wewe sio?
Kuchokana ni balaa zito aisee! Mkishaishi kwa kipindi kirefu boredom haikwepeki ila dah ni ngumu.

If you do it except siku ambazo unakuwa umetaitika hilo halina shida! Sio mwanamke anaji ommit kwenye majukumu kabisa yani yeye ni 0 grazing tu!

Hilo hapana ni tatizo! Kwa unavyosema wewe iko sawa hata mie siwezi kukumaindi tena ntakuwa nakupa tuff kabisa sababu hutegei ila unakuwa super tight!
 
Back
Top Bottom