Ajabu sana jamani.
Halafu kama huyu akimuoa cariha lazima apangiwe zamu ya kudeki kuosha vyombo na kupika.
Sababu hajielewi kwa nini anaoa.
kudeki ni minor issue na sio wale waume qanaoamimi, eti mke kumfulia nguo kwa mkono ndio love hyo
 
Kwanza inakuwaje mwanaume unajua kupika aisee... Raha ya mwanamke kuolewa na wanaume kama sisi tunaojua kupika chai tu ili aoneshe ufundi wake jikoni. Siyo mwanaume unajua kupika kuliko hata mke wako. Haha...
Hahahahahaha mwanamke unaoa wa nini sasa kama kazi zote unaweza fanya mwenyewe😅! Unajua lazma Gap lionekane bana kwa mjuba😅 yani mke awe ame add value!

Sasa hamna value addition bado nguo unajifulia na kujipigia pasi, Unajipikia huyo mke kazi yake yeye kujimekap na kutoka na kuingia ndani kupika anataka muagiziege chips tu😅
 
oa mke asiye nashule na awe ana baki tu nyumbani ndio atakufanyia yote hayo Ili ujione mwanaume rijali
Wapo wenye shule wanaji sacrifice kuhudumia waume na watoto zao as they get everything they want! Pesa ipo yani
 
Kuna couple zinainjoi maisha wajameni nikiona hivi watu kupitia mapito kwenye ndoa zao huwa nasemaga makosa huwa yanafanyika wapi,maana kuna couple zinafurahia neema za ndoa yao kwa kuwa walianza kupendana kwanza then mambo mengine yakafuata .... mambo ya okota okota huleta tafrani mbeleni,na wanaume tuchunge sana mikono yetu kwenye kupiga hawa wenzetu katika kitu napinga vikali ni hilo na haikufanyi kuwa dhaifu mwanamke asikushinde kupanga hoja na usimzoeshe kubishana nae ndiyo maanaa anakupanda kichwani
 
Hahaha... Wanaweza hata kuyasifia yananukia vizuri. Hii jinsia Mungu anaiona.
Hahahahah ndio maana baada ya watu kujua hawa ni watumwa kwenye pesa basi wanaitanguliza popote pale wanapowahitaji na kweli mambo yanaenda! Unaweza kuwakusanya hata watatu ukaenda kuwafanyisha 3 some 😅
 
Can you please define inferiority complex according to your understanding.
According to what I believe it a bit challenging to explain it in a simple way, Yani inferiority ina involve mtu mwenye low esteem, someone who is toxic, narcissistic, Mr perfect too much controlling, na vile mwanamke akimzidi kitu yeye anajiona less mwanaume Yani to me inferiority complex inabeba mengi it's hard to explain
 
Kumbadilisha mtu mzima Ni kazi na swez kupoteza mda kufanya hvo.
Kwa nn nilazimishe kukaa na mtu ambae naona chemistry zinakataa.
Hii ni rahisi kuongea ukiwa haujaowa" na ukiwa kwenye ndoa ni ngumu mno kutoka!!! Cuz kuna garama zakutoka na ndo panapokuwa pagumu maybe uwe muislam mkuu... Hii inabidi tufundishe mpaka dakika ya mwisho bila kuchoka, hawa wanawake tukienda nao speed hakuna utae weza kuishi nae mkuu

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mwanaume wa design hiyo unless awe analelewa na mwanamke........Yaani hata kitanda kutandika mnabishana kisa wote mnafanya kazi ? Na wewe ni wale wale , huwezi kuja kuolewa unless uoe
humu JF kila mwanaume ni kichwa Cha nyumba na tajiri eeeh
Halafu mbona mnakimbilia minor issue ya kitanda eti kubishana, I do believe Mimi nikikuta kitu Akiko fixed kwa uwezo wangu nakitengeneza it doesn't cost a thing mpaka iwe mjadala huo uzembe sasa
 
Hahahahahaha mwanamke unaoa wa nini sasa kama kazi zote unaweza fanya mwenyewe😅! Unajua lazma Gap lionekane bana kwa mjuba😅 yani mke awe ame add value!

Sasa hamna value addition bado nguo unajifulia na kujipigia pasi, Unajipikia huyo mke kazi yake yeye kujimekap na kutoka na kuingia ndani kupika anataka muagiziege chips tu😅
Haha... Unakuwa hautofautiani na wasiooa, zaidi unawazidi stress tu. Na hii ndiyo sababu wengi waliooa hawa feminists wanatamani kutoka kwenye ndoa.
 
Ngoja nicomment kabla ya kusoma we jamaa balaa pole na hongera kwa Uzi huenda ukasaidia na waliokosea kuolewa wanakuja na uzi wao
 
Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Hata hivyo, wewe ndiye mtumiaji wa penseli, ichonge vile kawaida inatakiwa, lkn kubwa zaidi ichonge penseli kwa kadri ya mahitaji, matakwa na mapenzi yako!!
 
Hili hakuna mtu kalikataa swala ni kusingizia eti hata glass ya maji kumpa mumeo huwezi kisa mmetoka wote kazini! Huo ni utoto wa hali ya juu, au kupakuwa chakula mle unaona kama utumwa you must be death!
Naomba kuuliza hivi wewe ukichukua maji kwenye water dispenser utakufa?
Ujue vitu vingine uvivu wetu huishia kulaumu tu wengine bila sababu,
Kwenye maisha tukijofunza kutokutegemea watu makwazo yatapungua sana
 
Kuna couple zinainjoi maisha wajameni nikiona hivi watu kupitia mapito kwenye ndoa zao huwa nasemaga makosa huwa yanafanyika wapi,maana kuna couple zinafurahia neema za ndoa yao kwa kuwa walianza kupendana kwanza then mambo mengine yakafuata .... mambo ya okota okota huleta tafrani mbeleni,na wanaume tuchunge sana mikono yetu kwenye kupiga hawa wenzetu katika kitu napinga vikali ni hilo na haikufanyi kuwa dhaifu mwanamke asikushinde kupanga hoja na usimzoeshe kubishana nae ndiyo maanaa anakupanda kichwani
Mkuu, amka kwenye huo usingizi, unaota.

Hawa wanawake wa Beijing hauwajui.
 
Back
Top Bottom