wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,048
- 2,442
"Corporate lawyer mwenye vihela flani" au nimesoma vibaya?Nilimkuta akiwa hana ishu mkuu.....kuanzia shule mpaka kuanza kazi ...ila akaja kuota mapembe baadaye
"Corporate lawyer mwenye vihela flani" au nimesoma vibaya?Nilimkuta akiwa hana ishu mkuu.....kuanzia shule mpaka kuanza kazi ...ila akaja kuota mapembe baadaye
Mke yupi jaman si wewe au?Nyoooooo..... wewe ndo malaika eh? Msalimie mkeo bloo
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Usisusie chakula ya usiku akibana poa akikupa ichape kweli kweli mi hata niwe nimevurugika vp au ameniudhi vp nikiona anaitaka huwa namchapa kweli kweli kama hatujagombana ndio maana ugonvi wetu huwa haudumu sana na mimi mwenyewe bila chakula cha usiku wakati mtu yupo pembeni na ni mali yangu halali aisee ntageuka usiku kucha, ndoto za ajabu haziishi yaani mpaka nile huo usiku hapo unakuja usingizi mwanana kabisa.Mimi kupata unyumba hadi yeye atake , kuna kipindi alinipiga desh wiki 2 , bac siku aliyokuwa na hamu , alianza kujichekesha toka dinner, mapema akaenda kwa bed , nami nikasema ngoja nimuoneshe nami nikawahi kwa bed nikalala nikampa mgongo , akajiongelesha wee mi nikajifanya nakoroma , hadi asubuhi , dah hizi ndoa hizi
Tujaribu kuvaa uhusika wa wanawake tutaona ugumu wanaopata.
Au wanaume tujifunze kuwasaidia kazi wake zetu tunaweza angalau kuona ugumu wa kazi hizo.
Mimi nakumbuka wakati wife analea mtoto wetu mchanga hatukuwa na binti wa kazi nilikuwa naamka saa kumi kasoro nakosha vyombo,nafua nguo,nadeki,nasafisha jiko,napika chai,natia maji chooni ya kutumia then saa mbili nakoga naenda kwenye ishu zangu,yeye wife anabaki anapambana na mtoto.
Tulikiiishi kipindi hiko bila binti wa kazi,lakini hizo kazi zote ningemuachia mzigo ungezidi kuwa mzito.
Ni sawa kabisa.Hata mimi nitakuambia wapo wanaume wanaotimiza majukumu yao na bado wanawasaidia wake zao kazi za nyumbani ilihali wake zao ni mama wa nyumbani tu! Je hiyo ni sawa?
We ni mwanaume na nusuTujaribu kuvaa uhusika wa wanawake tutaona ugumu wanaopata.
Au wanaume tujifunze kuwasaidia kazi wake zetu tunaweza angalau kuona ugumu wa kazi hizo.
Mimi nakumbuka wakati wife analea mtoto wetu mchanga hatukuwa na binti wa kazi nilikuwa naamka saa kumi kasoro nakosha vyombo,nafua nguo,nadeki,nasafisha jiko,napika chai,natia maji chooni ya kutumia then saa mbili nakoga naenda kwenye ishu zangu,yeye wife anabaki anapambana na mtoto.
Tulikiiishi kipindi hiko bila binti wa kazi,lakini hizo kazi zote ningemuachia mzigo ungezidi kuwa mzito.
Wadau,
Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!
Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.
Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.
Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.
Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.
Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.
Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.
ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA
KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
Ndani ya hivo vitu ulivyovijadili na ndio mapenzi na kumisiana kunapatikana humo humoHapa tunajadili hoja hatujadili maoni.
Maoni kila mtu anayo ila hoja ndani ya maoni hayo ndicho kitu cha msingi.
Pinga kwa hoja usiishie kusema maoni yangu na kufanya hiyo ni hoja ya kujitetea kwako.
Huu ujinga wa kumrundikia mwwnamke mikazi haukubaliki katu.
Inaongeza upendo sana...yaan malovee kama yooteNi sawa kabisa.
Hawa wanawake zetu tusiwafanye kama watumwa wetu.
Mara moja moja saidia kufua,kutandika kitanda,kuwaosha watoto inaongeza upendo pia.
Unapenda Kei sanaUsisusie chakula ya usiku akibana poa akikupa ichape kweli kweli mi hata niwe nimevurugika vp au ameniudhi vp nikiona anaitaka huwa namchapa kweli kweli kama hatujagombana ndio maana ugonvi wetu huwa haudumu sana na mimi mwenyewe bila chakula cha usiku wakati mtu yupo pembeni na ni mali yangu halali aisee ntageuka usiku kucha, ndoto za ajabu haziishi yaani mpaka nile huo usiku hapo unakuja usingizi mwanana kabisa.
Kageuzia gia angani"Corporate lawyer mwenye vihela flani" au nimesoma vibaya?
Hebu niambie kwanza mzungu kakubali kushare dudu? Au mzungu poriNakubaliana na wewe. Changing a woman’s perspective and attitude requires deep psychological influence.
I have done it and as we speak, nina nimeoa mke wapili mzungu, anamtambua na kuheshimu mke mwenzake vilivyo yet she (mzungu) is also a cooperate woman and she does all household chores which she wasn’t good at in the beginning.
Mwanamke anahitaji mwanaume mwenye kujitambua, msimamo, maono thabiti ya maisha na uwezo wa kusimamia anachokiamini. Huyo ndo mwanaume anayeweza kusimamisha familia na kumkalisha mwanamke chini hata kama ni wa daraja gani.
It is simply psychology.
Mkuu hii imepenya niniLabda ungewashauri tuu vijana wasioe kabla hawajipanga lkn sio kuwakebehi vijana walio na kipato cha chini katika nchi yenye asilimia zaidi ya sabini ya watu wasio na ajira rasmi tia maji tia maji.
Wadau,
Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!
Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.
Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.
Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.
Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.
Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.
Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.
ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA
KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
Kuna wanaume asili yao unyanyasaji.Ni sawa kabisa.
Hawa wanawake zetu tusiwafanye kama watumwa wetu.
Mara moja moja saidia kufua,kutandika kitanda,kuwaosha watoto inaongeza upendo pia.
Aisee kwa hali hii Tutaoa kweli ....Sasa mwanaume mwenye kipato kidogo wa nini jamani????
Wanaume wote waliojaaa wenye hela na kujielewa jamani.
Chaiiiii mwanamke utalipaje bills jamani???kuhudumia nyumba na watoto ni jukumu la mwanaume.
Kamwe usichukue majukumu yake.
Mwache apambane alete chakula mezani.
Jukumu la mwanaume kuhakikisha mke na watoto wanakula, kulala na kupata mahitaji muhimu ikiwemo elimu bora kwa watoto.
Mwanamke kulipa bills na kusimamia majukumu hii inamuondolea confidence mwanaume na ndo chanzo cha migogoro kama ndoa ya mleta mada.
Kazi ya kipato cha mwanamke ni moja tu kusaidia kuwa msaidizi yaani kujazilia sehemu ndogo sana, kuweka akiba pale mume siku akibanwa unampiga tafu, kuwa huru na kipato chako pia nikiamua kuwatoa out including mume ninatoka nae nalipa bills vizuri tu tunaenjoy maisha. Yeye pia ni binadamu iko siku atakwama, anaweza ugua au kupata matatizo mda mrefu kipato changu na akiba nilizoweka zitatusaidia tusongeshe gurudumu la maisha.
Kwanza kwa kumbukumbu zangu wanaume wasiokuwa na hela wana shida sana,mleta mada ni mmojawapo alizidiwa elimu na kipato na mke wake, ikamuondolea uanaume wake na kupelekea maugomvi na talaka.
Wadogo zangu waepukeni wanaume wasio na kipato hawana jema hata kidogo atakunyanyasa kwa kipato chako, atakudhalilisha kwa kipato chako yaani atapambana kuhakikisha unakuwa chini kama yeye kiuchumi na kifikra.
Oa pale unapokuwa umejiandaa kuwa baba, kubeba majukumu yako.Aisee kwa hali hii Tutaoa kweli ....
Kama mama mnawashauri mabinti zenu hiv...
Kumbe ndo maana wasichana wengi siku hiz ukimtongoza tu matatizo yanaibuka ....
Ukifuatilia zaidi eti anakutest Kama unaweza kuwa mme Bora..
So asilimia kubwa ya boys wanabaki kuwa single mpaka wapate hela..na wakipata hela ndo uanza kuwachezea wanawake maana hufikiri huwa hawapendwi wao Bali pesa zao
Hatari sana chief.Kisingizio wametoka kazini wote... Sasa kama kazi inamzuia kutimiza majukumu yake si aiache!