Sijaoa ila naishi na pepo juzi nmesafiri tu kauza Friji narudi nauliza naambiwa nmeongezea naagiza cm hiv ndugu zangu ni sawa ..nahitaji kuanzisha Uzi ili mnipe ushauri wakuu...sijui niendapo.
Ahaaaahaaahaaa

We kimbia haraka
 
Busara gani hapo angefanya kama mtu kaamua kukengeuka? Again kila mtu analimit ya uvumilivu na si kila mtu anastahili kuvumiliwa kama ilivyo si kila mtu anafundishika

Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
Inferiority complex ndo inamsumbua kutokana na kipato cha mke wake.

Anaanza cheap mentalities kwamba mke wake atakuwa anagongwa nje, wala mafanikio yake hayatokani na elimu, bidii nk.

Pia mfumo dume utakuwa unamhangaisha si bure.

Believe me, cheo hakimfanyi mwanamke kumdharau mwanamme. Muanzilishi ni mwanamme na anajificha katika kivuli cha mafanikio ya mke wake kwamba mafanikio yake ndo yanampa kiburi.
 
Ni sawa kama mwanaume anafurahia kufanya hayo yote ila kwa asiye furahia hayo ana hiari ya kutofanya na haikupi wewe mamlaka ya kumkomoa!
The same applies kwa mwanamke! Afanye hayo kama anayafurahia ila kama hafurahii asijilazimishe ndicho tunachokisema hapa na trust me 99% ya wanawake hawafurahii kufanya majukumu mengi kuzidi waume zao sababu mume ndiyo kiongozi na mke ni msaidizi!

Sasa uliona wapi msaidizi ndiyo anafanya majukumu mengi kuliko kiongozi inakuwaje upewe mamlaka makubwa halafu uwe na majukumu madogo kuliko aliyekuwa placed chini yako under which standards yaani? Au hujui kwamba with great power comes great responsibility aloooo?
 
I totally agree with you.

Corporate jobs sio kama kufungua duka Kariakoo unaweza kumuacha kijana na ukaenda nyumbani kuanza kujipikilisha.

Kuna critical meetings ambazo huwezi kujua siku wala saa, kuna deadlines kuna mengi yasiyoelezeka.

Sasa huyo mwanaume kama sio gubu ni nini? Kama nguo zinaweza kutakata kwa kufuliwa na washing mashine kwanini alazimishe mwanamke apinde mgongo kufua nguo zake.

Kama kunaweza kuwa na domestic assistant wa kusaidia kusugua masufuria then why the hell not!

Ndo maana sometimes tunaambiwa tujiangalie katika equality lakini watu wanakuja kuelewa vibaya.

Mwanamme aliekatika same setting ni rahisi kuelewa kuliko dereva wa daladala na ma ovaroli yake.
 
Wapo wanawake wanafanya kazi (za kutafuta hela) na nyumbani wanafanya kazi kama kufua, kupika na haki ya ndoa inatendwa vizuri.
Aina hii ipo sana tu dadeq! Yani mke anayajua majukum yake akiwa home na anayatendea haki! Shida wanawake wa sikuhizi wanapenda mashindano sana yani anataka akipika na wewe upike af kisingizio eti mimi nimetoka kazini pia kama wewe!
 
Back
Top Bottom