financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,127
- 40,685
Nnavyotamani kuja kuwa na familia ya baba mama na watoto wetu tukiishi kwa upendo, then nikiona hizi shuhuda za kukosea kuoa naona mnaniconfuse sielewi.🤷♂️
AhaaaahaaahaaaSijaoa ila naishi na pepo juzi nmesafiri tu kauza Friji narudi nauliza naambiwa nmeongezea naagiza cm hiv ndugu zangu ni sawa ..nahitaji kuanzisha Uzi ili mnipe ushauri wakuu...sijui niendapo.
Hawa viumbe pasua kichwa, mbaya zaidi awe na kashule yaani wewe ankuzidi hiii utadeki mpaka nyumba.
Inferiority complex ndo inamsumbua kutokana na kipato cha mke wake.Busara gani hapo angefanya kama mtu kaamua kukengeuka? Again kila mtu analimit ya uvumilivu na si kila mtu anastahili kuvumiliwa kama ilivyo si kila mtu anafundishika
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
Na mwanamke asiefurahia kufanya hivyo haupaswi kumkomoa pia.Ni sawa kama mwanaume anafurahia kufanya hayo yote ila kwa asiye furahia hayo ana hiari ya kutofanya na haikupi wewe mamlaka ya kumkomoa!
Sawa sawa umuweke umlipe maana hio haiishiagi hapo ni ratiba mpaka za kitandani😅House maid anapika, analipwa kwa kazi hizo.
Mwanamke asiyefurahia hayo hapaswi kuolewa kabisa! Sababu those are the salient features of a wife 😅!Na mwanamke asiefurahia kufanya hivyo haupaswi kumkomoa pia.
Hamna shida pia, mume mpumbavu hujisababishia kifo chake mwenyewe. Kama akili hana mie ni nani jamaniSawa sawa umuweke umlipe maana hio haiishiagi hapo ni ratiba mpaka za kitandani
The same applies kwa mwanamke! Afanye hayo kama anayafurahia ila kama hafurahii asijilazimishe ndicho tunachokisema hapa na trust me 99% ya wanawake hawafurahii kufanya majukumu mengi kuzidi waume zao sababu mume ndiyo kiongozi na mke ni msaidizi!Ni sawa kama mwanaume anafurahia kufanya hayo yote ila kwa asiye furahia hayo ana hiari ya kutofanya na haikupi wewe mamlaka ya kumkomoa!
hapo hamchelewi kutuita mafeminist kumbe logic za kawaida tu. Kama wewe unachoka na mke wako anachoka vile vile uzuri kizazi cha nyoka hiki tunanyooshanaKumekucha kikosi kazi kazini
Basi oa mama wa nyumbani awe house maid wako.Mwanamke asiyefurahia hayo hapaswi kuolewa kabisa! Sababu those are the salient features of a wife !
Mke gani htaki kupika, kufua wala kufanya lolote linalohusu ndoa? Ana uhalali gani wa kuwa mke wa mtu?
Na wataelewa tu, hadi wakumbuke akili walikoziacha wakazifuate ili wazitumie.hapo hamchelewi kutuita mafeminist kumbe logic za kawaida tu. Kama wewe unachoka na mke wako anachoka vile vile uzuri kizazi cha nyoka hiki tunanyooshana
Uzuri mnacholiliaga huwa sicho mnachofurahia😅 kufanyiwa! Women psychology is so insane unaweza kuhisi you are fucking things up kumbe uko on par na what they really want!Sure mkuu wanaume wote mngekuwaga kama hivi ndoa nyingi zingekuwa na maelewano mno
I totally agree with you.The same applies kwa mwanamke! Afanye hayo kama anayafurahia ila kama hafurahii asijilazimishe ndicho tunachokisema hapa na trust me 99% ya wanawake hawafurahii kufanya majukumu mengi kuzidi waume zao sababu mume ndiyo kiongozi na mke ni msaidizi!
Sasa uliona wapi msaidizi ndiyo anafanya majukumu mengi kuliko kiongozi inakuwaje upewe mamlaka makubwa halafu uwe na majukumu madogo kuliko aliyekuwa placed chini yako under which standards yaani? Au hujui kwamba with great power comes great responsibility aloooo?
Aina hii ipo sana tu dadeq! Yani mke anayajua majukum yake akiwa home na anayatendea haki! Shida wanawake wa sikuhizi wanapenda mashindano sana yani anataka akipika na wewe upike af kisingizio eti mimi nimetoka kazini pia kama wewe!Wapo wanawake wanafanya kazi (za kutafuta hela) na nyumbani wanafanya kazi kama kufua, kupika na haki ya ndoa inatendwa vizuri.
Bora mara 10 tho ntaoa mfanyakazi tu ila anaejitambuaBasi oa mama wa nyumbani awe house maid wako.
Bora mara 10 tho ntaoa mfanyakazi tu ila anaejitambua