Wale tulioingia chuo kwa mbwembwe na tukaishia kudisco kwa aibu tukutane hapa

Kuhusu disco waulizeni ndugu zenu wa law school,Kule ku disco wanaona sifa,
 
Siku ya Kwanza tu naingia chuo nikapata mademu watatu, usiku wake nikampiga benchi mate wangu nikavusha dem, baada ya wiki moja nikajikuta mi snop dog nikaanza kula msuba kwa Sana tungi ndo usiseme kila siku hunikosi pin point club pale arusha....kilichokuja kunipata kwenye pepa ni Siri yangu
 
Back
Top Bottom