Wale tulioingia chuo kwa mbwembwe na tukaishia kudisco kwa aibu tukutane hapa

Kijana Wa Dar

Member
Sep 22, 2016
98
215
Mimi nilichaguliwa UDOM Bsc in Computer Engineering mwaka 2013 na nisiwe muongo tu wakuu nilikuwa mzembe sana kipindi nipo chuo. Nilikuwa siingii class, yani me ni mtu wa Town tu Mara Jamatini, Mara nipo zangu Capetown pub pale karibu na stand ya mkoa.

Wakuu hakuna chimbo la Malaya pale Dodoma sikulijua, sio CDA wala Chakochako kote huko nilifika. Kwangu Mimi niliamini kudisco ni story tu nikasema lazima nimalize.

Wakuu Kwa mshangao mkubwa sikuamini baada ya kufungua UDOM SR yangu nikakuta Nina GPA ya 1.1 hivyo sikufika hata GPA ya 1.8 ya kufanyia supplementary hivyo nikutana na red ikisema discontinuation .

Nilipatwa na mshangao mkubwa kutokana na mawazo yangu yote kuwa kufaulu O-Level na A-Level Kwa kiwango kikuu kungenipa kinga kuendelea kubaki chuo.

Utabe wangu wa Azania O-Level maana nilitoka na div 1.12 na advance mzumbe div 1.8 haukuweza kunifanya nimudu masomo ya chuo.

Karibuni
 
Mimi nilichaguliwa UDOM Bsc in Computer Engineering mwaka 2013 na nisiwe muongo tu wakuu nilikuwa mzembe sana kipindi nipo chuo.Nilikuwa siingii class,yani me ni mtu wa Town tu Mara jamatini,Mara nipo zangu Capetown pub pale karibu na stand ya mkoa.

Wakuu hakuna chimbo la Malaya pale Dodoma Nini sikulijua,sio CDA wala Chakochako kote huko nilifika.Kwangu Mimi niliamini kudisco ni story tu nikasema lazima nimalize.

Wakuu Kwa mshangao mkubwa sikuamini baada ya kufungua UDOM SR yangu nikakuta Nina GPA ya 1.1 hivyo sikufika hata GPA ya 1.8 ya kufanyia supplementary hivyo nikutana na red ikisema discontinuation .

Nilipatwa na mshangao mkubwa kutokana na mawazo yangu yote kuwa kufaulu olev na alevel Kwa kiwango kikuu kungenipa kinga kuendelea kubaki chuo.

Utabe wangu wa Azania olev maana nilitoka na div 1.12 na advance mzumbe div 1.8 haukuweza kunifanya nimudu masomo ya chuo.

Karibuni

Naona ulikuwa unajipanga kuwa mkuu wa mkoa fulani
 
Ahhaha mkuu ulikosa mshaur wakat unaanza chuo kwa kwel , mm nilikua km ww ila week moja kabla ya examss nakomaa vibaya had watu wakawa wananiona genius cause aiingii class , sina discussion ila mitihan sifeli kumbe sina lolote milikua nakomaa tu one week before
 
Mimi nilichaguliwa UDOM Bsc in Computer Engineering mwaka 2013 na nisiwe muongo tu wakuu nilikuwa mzembe sana kipindi nipo chuo.Nilikuwa siingii class,yani me ni mtu wa Town tu Mara jamatini,Mara nipo zangu Capetown pub pale karibu na stand ya mkoa.

Wakuu hakuna chimbo la Malaya pale Dodoma Nini sikulijua,sio CDA wala Chakochako kote huko nilifika.Kwangu Mimi niliamini kudisco ni story tu nikasema lazima nimalize.

Wakuu Kwa mshangao mkubwa sikuamini baada ya kufungua UDOM SR yangu nikakuta Nina GPA ya 1.1 hivyo sikufika hata GPA ya 1.8 ya kufanyia supplementary hivyo nikutana na red ikisema discontinuation .

Nilipatwa na mshangao mkubwa kutokana na mawazo yangu yote kuwa kufaulu olev na alevel Kwa kiwango kikuu kungenipa kinga kuendelea kubaki chuo.

Utabe wangu wa Azania olev maana nilitoka na div 1.12 na advance mzumbe div 1.8 haukuweza kunifanya nimudu masomo ya chuo.

Karibuni
PumbaVu, kujaza server na matapishi, what for this post
 
Unazngua. Tuliomaliza azania 2010 mzumbe alienda mmoja na akajiunga udsm 1st year 2013 Civil. Wewe umemaliza o level mwaka gan
 
Tuliingia kwenye mgogoro mkubwa na department third year, walichotufanya ni kurudisha karibu kila mtu September conference tena na mzigo wa kutosha. Hofu ya kubaki ikanifanya nijifunze kupiga chabo, maisha yangu yote ya kusoma sijawahi kupiga chabo kama kipindi hicho, na Sup zingekuwa haziishii 'C' zote zingekuwa mabanda..
 
Back
Top Bottom