Wale tulioachana na Ma- X kwa ugomvi, ulimuonaje ulipokutana naye tena?

Mimi sijai kutana nae hata mmoja, uzuri na ubaya ma-ex wote ni wa mikoani nilikokua katika utafutaji, mkoa nilipo asaiv ni homeboy kabisa ila sikuaga na manzi na metulia nshaacha kusafiri safiri.
 
Daaah safi sana
 
Back
Top Bottom