Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 828
- 1,013
- Thread starter
- #21
Picha Hamna broo?Hahahah....
I was wanted to be a Dj' na nilikua naenjoy sana BPM na Scratching nyimbo za Hip Hop.
Kama ningekomaa na area hiyo labda leo ningekua napiga mziki mahali pakubwa
Mtazamo wa watu juu ya kua DJ ulikua mmbaya sana na nilikua bwana mdogo nikaachana na hilo.
Dj Malls Kiss Fm na Dj Mafuvu EA Radio 2009 walinitamanisha sana kurudi
Sent using Jamii Forums mobile app