Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 836
- 1,014
Ki msingi mi harakat za muziki zilianza Mara tu baada ya kupevuka 2008 nikawa nawaimbia washkaji magheton mwishoe nikapata ki nafasi studio moja kule mboka enzi hizo walikuepo kina hardlee mganda na joakim bambuyu ndio wanakimbiza kule bush ( tabora). Nilifanya ngoma ila haikubamba ki vile nikaamua kukimbilia mwanza baada ya kusikia kina sajna wanakimbiza sana tz nami nikaja kusaka mafanikio ila imekua tofauti sana tangu niingie mwanza 2010 mpaka Leo nawaimbia tu masela maghetoni m,, mafanikio yangu ni "unaweza unaweza"
Kiukweli bado cjachoka ipo cku ntatoboa
Na nilichofata hapa sio ushauri hapana nataka kuwafahamu wasanii wenzangu wa magheton ili tupeane Ramani,
Hip picha hapo no kumbukumbu yangu ya 2008 first time kuingia studio!!!!*
UZI TAYARI
Sent using Jamii Forums mobile app