Wale tulio hustle kimziki ikaahindikana tukutane hapa

Raj kapool

JF-Expert Member
Jun 29, 2018
827
1,005
Ki msingi mi harakat za muziki zilianza Mara tu baada ya kupevuka 2008 nikawa nawaimbia washkaji magheton mwishoe nikapata ki nafasi studio moja kule mboka enzi hizo walikuepo kina hardlee mganda na joakim bambuyu ndio wanakimbiza kule bush ( tabora). Nilifanya ngoma ila haikubamba ki vile nikaamua kukimbilia mwanza baada ya kusikia kina sajna wanakimbiza sana tz nami nikaja kusaka mafanikio ila imekua tofauti sana tangu niingie mwanza 2010 mpaka Leo nawaimbia tu masela maghetoni m,, mafanikio yangu ni "unaweza unaweza"
Kiukweli bado cjachoka ipo cku ntatoboa
Na nilichofata hapa sio ushauri hapana nataka kuwafahamu wasanii wenzangu wa magheton ili tupeane Ramani,
Hip picha hapo no kumbukumbu yangu ya 2008 first time kuingia studio!!!!*
UZI TAYARI
FB_IMG_1546895888692.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hip-hop nishafanya Sana mixer kuhudhuria vilinge msasani B club na bado tukafanya project ya rap battle Micasa lounge..hii kitu nakupenda Toka moyoni hip-hop we ndo my dear
 
Ki msingi mi harakat za muziki zilianza Mara tu baada ya kupevuka 2008 nikawa nawaimbia washkaji magheton mwishoe nikapata ki nafasi studio moja kule mboka enzi hizo walikuepo kina hardlee mganda na joakim bambuyu ndio wanakimbiza kule bush ( tabora). Nilifanya ngoma ila haikubamba ki vile nikaamua kukimbilia mwanza baada ya kusikia kina sajna wanakimbiza sana tz nami nikaja kusaka mafanikio ila imekua tofauti sana tangu niingie mwanza 2010 mpaka Leo nawaimbia tu masela maghetoni m,, mafanikio yangu ni "unaweza unaweza"
Kiukweli bado cjachoka ipo cku ntatoboa
Na nilichofata hapa sio ushauri hapana nataka kuwafahamu wasanii wenzangu wa magheton ili tupeane Ramani,
Hip picha hapo no kumbukumbu yangu ya 2008 first time kuingia studio!!!!*
UZI TAYARIView attachment 1017670

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nimecheka saana.

Nimerap saana shule mkuu...nimeshinda zawadi nyingi saana. Kubwa ni kulipiwa ada mwaka mzima sekondari na Simu.

-Sikuwa naupenda na kuamini muziki utanitoa kimaisha..niliajua narap tu kujifurahisha..nilikuwa nikiangalia maisha ya wasanii waliokuwa na majina makubwa ilihali maskani nawajua nasema hapa hapana...sitoboi.
 
Hahahah....

Nilitaka sana kua Dj' na nilikua naenjoy sana BPM na Scratching nyimbo za Hip Hop.

Kama ningekomaa na area hiyo labda leo ningekua napiga mziki mahali pakubwa

Mtazamo wa watu juu ya kua DJ ulikua mmbaya sana na nilikua bwana mdogo nikaachana na hilo.

Dj Malls Kiss Fm na Dj Mafuvu EA Radio 2009 walinitamanisha sana kurudi
 
Hahaha nimecheka saana.

Nimerap saana shule mkuu...nimeshinda zawadi nyingi saana. Kubwa ni kulipiwa ada mwaka mzima sekondari na Simu.

-Sikuwa naupenda na kuamini muziki utanitoa kimaisha..niliajua narap tu kujifurahisha..nilikuwa nikiangalia maisha ya wasanii waliokuwa na majina makubwa ilihali maskani nawajua nasema hapa hapana...sitoboi.
Nina iman hata jay z angekua na mtazamo kama wako tusingemfaham

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom