Wale mnaojiita viongozi vijana jifunzeni kutoka kwa Kiongozi Kijana Waziri Mkuu wa Ethiopia

Mdomo Mwepesi

Member
Apr 19, 2011
67
93
Ni kiongozi kijana kuwahi kuwa mkuu wa serikali katika bara la Afrika lakini mambo aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya ni makubwa kwa nchi yake na majirani. Ni mwaka jana tu amekuwa Waziri Mkuu lakini mwaka huu amekuwa mshindi wa Noble Prize!! Ni kiongozi kijana mnyenyekevu na anayethamini heshima, utu na ni mpenda amani. Hapa kwetu kijana akipata madaraka atapenda amkanyage kila mtu, na kulazimisha heshima na kuabudiwa.
 
Wa kwetu wanajimwambafy kama Ally Hapi leo eti anamkemea Kikwete sijui hiyo gut anaipata wapi!! shenzi kabisa
 
Ni kiongozi kijana kuwahi kuwa mkuu wa serikali katika bara la Afrika lakini mambo aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya ni makubwa kwa nchi yake na majirani. Ni mwaka jana tu amekuwa Waziri Mkuu lakini mwaka huu amekuwa mshindi wa Noble Prize!! Ni kiongozi kijana mnyenyekevu na anayethamini heshima, utu na ni mpenda amani. Hapa kwetu kijana akipata madaraka atapenda amkanyage kila mtu, na kulazimisha heshima na kuabudiwa.
Hapa tunae hussein mwinyi hana shobo na mtu unaweza kaa miezi6 hujmsikia kideoni wala gazetini
 
Back
Top Bottom