Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,711
- 45,088
Bila kupoteza muda, mliowahi kupanda Treni ya Tazara, Dar, Mbeya, Kapirimposhi. Ni kitu gani unakikumbuka katika safari zako ndani ya treni hiyo? Vipi yale mahandaki na kona za hatari?
Karibuni kwa mjadala...
Karibuni kwa mjadala...