Wale mliosoma/ mnaoijua ICT msaada tafadhali

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,138
22,507
Kwa sasa nasoma ICT, Informational Communication Technology.

Bado nipo hatua za mwanzo kwa wale mliopitia mnaweza kuja kuninoa hapa kwa maswali ili kunijenga zaidi. Wataalamu nahitaji sana msaada wenu kuhusu hii course.

CHIEF MKWAWA na wengine tafadhali.
 
Unasoma ICT halafu unauliza unachosoma ni nini?
Hiyo si hata kwenye course outline si wanaandika?
ukielewa mantiki ya huu uzi usingeni quote hivi mkuu.
nimeuliza ili kujua tu wangapi wapo wanaelewa hii kitu.
 
Ukweli ni kwamba ICT ni pana sana hata usome miaka 100 huwezi imaliza yote ndio maana wakaamua kuigawa mafungu mawili ambayo ni:-
1)Hardware
2)Software

Kwenye hardware pia kuna sub-categories nyingi sana na ni ngumu kuzimaliza zote, vivyo hivyo kwenye software pia kuna sub-categories nyingi sana ambazo ni ngumu kuzimaliza zote.

Ndio maana kila chuo huwa wanalenga baadhi ya mitaala.

Swali langu ni;

Je, umebase upande gani kati ya software au hardware?

Baada ya hapa ndio tuendelee kukunoa mzee baba
 
mkuu kwa sasa tume base zaidi kwenye hardware.
 
Mwanafunzi wa ICT lazima apewe utanguizi wa vyote, hardware na software kabla kuja kujitikita kwenye specialized. Hivyo ungempa msaada wa vyote.
Mleta uzi ungeweka humu usichokielewa, sio rahisi upewe darasa la ICT yote humu, cha msingi weka humu kitu ambacho kinakupa makengeza kila ukijaribu kukielewa, wadau kila mmoja atajaribu kukishusha kwa lugha nyepesi.
 
Back
Top Bottom