Wale "Majahili/ Majangili" waliotumwa Kumuua Tundu Lissu kwa sasa wanafanya kazi hii

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
3,706
2,000
Ukienda kwenye mapori yetu kuna wanyama ambao ni nyara za Taifa. Hawa huwa wanalindwa kwa hali na mali ili wasipotee katika Hifadhi/Mbuga za Taifa. Zile mbuga si za Serikali ni za Taifa kwa maana ya kuwa kila Serikali itakayokuja itapaswa kuzilinda.

Lakini huko kuna majangili/majangiri (sifahamu vizuri kama ni li/ri) vyovyote iwavyo. Hawa huwa wanaenda kuua wanyama hawa kwa malipo ambayo bado si thamani ya wanyama hawa.

Nikawaza waliotumwa na Shetani kwenda muua Tundu Lissu. Kwa sasa wana kazi tu ya kumcheck kwenye Tv na mitandao akizungumza kwa ujasiri na kwa kupoteza woga kabisa wa kifo.

Ndo kazi waliyo nayo. Sielewi kama walipewa kazi nyingine na baada ya ile mission ku fail. Na kama walipewa hiyo kazi nyingine waliifanya na kukahikikisha waliamua kutenganisha kabisa kichwa na kiwili wili ili mtu huyo asije akaonekana tena ameshindikana kufa.

Hawa watu ukiwafahama wana majina kama mohamed, john, kugambwa, amani n.k kwa maana wana majina ya dini zetu zote.ila wanatumiwa na shetani kufanya unyama huo.

Sasa wana kazi gani hawa wauaji? Wanajisikiaje? Kuna siku tutamsikia mmoja akiwa katika nyumba ya ibada akiomba toba kwa jambo hilo.
 
MAGALEMWA

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
6,031

Usiseme misheni imefeli, ilifanikiwa sana. Kwa hilo wanakula bata na ulinzi wa kimagogoni.

Mungu alifanya kazi yake ili sote tujue kuwa yupo. Aliifanya kazi hiyo kwa malengo mengi. Moja likiwa kumuaibisha mtu au watu.

Tumshukuru Mungu kwa Hilo.
 
Yamakagashi

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
8,674
2,000
Pengine washatangulizwa mbele ya haki

Kuna vifo vina utata vilitokea moja Dodoma na nyingine Mbeya labda hawa walikuwa kwenye jopo nimesema Labda
 
Zakaria Lang'o

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,571
2,000
Waovu huwa hawaachi uovu wao. Nia ya mtu mwovu huwa Ni ovu siku zote.
Angalia njama za Sauli kwa kijana Daudi. Pamoja na kushindwa kumuua mara kadhaa kwa mkono wake, alijaribu mara kwa mara kwa kuwatumia walinzi na pia mtoto wake Jonathan. Ilishindikana.Soma 1Samweli 18, 19 na 20. Sura zote hizo zinaonyesha njama dhidi ya Daudi.
Mwisho Mungu aliwaumbua wauaji!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom