Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
kama kichwa cha habari kinavyojielezea kwa ndugu zangu watumiaji wa mitandao ya kimahaba kama vile hitwe, Badoo, tizag,Instagram,whatsup etc hebu tupeane NONDO za maneno na kupeana ujuzi katika utongozaji .
Mimi kwa uzoefu wangu mitandao ya kimahaba nimetongoza watoto wengi wazuli wapo ambao nawapata wapo ambao nawapotezea ila changamoto ninazokutana nazo katika mitandao hii kama ifuatavyoo.
1.kuombwa hela ya kusuka au hela ya kulaa.
2.kuombwa hela ya nauli ya mdada kufika hapa nilipo.
3.kuombwa hela ndefu kama laki au laki mbili hivii. ......
Jinsi ya kudeal nao ni kama hivi .
1.Demu anayeniomba hela ya kusuka au hela ya kula ,
Huwa namuuliza uko wapi saivi , akisema nipo kimara au Sinza mi ntamjibu Mimi nipo karibia maeneo hayo vipi utakuwa sehemu gani nikupitishie au tuonane kituoni baada ya hapo nitasubilia atanijibu nini au atanibadilishia story . nikiona ananibadilishia story huwa nakausha coz huwezi mtumia hela MTU ambae hujawahi kumuona.
2.demu ambaye ananiomba nauli , huwa naamuliza uko wapi saivi akinijibu nipo mbagala mi ntamwambia Leo Nina safali ya kuja uko hivo ningependa tuonane huko huko hapo ntasubilia ajibu nini au atanibadilishia story nikiona atanibadilishia story huwa nakausha kwa maana huwezi tuma pesa kwa MTU ambae hujawahi kuonana naee.
3.demu ambaye ananiomba pesa kuanzia elfu 50 na kuendelea labda ana shida mi huwa namjibu ntakupa mwisho wa mwezi nikipokea mshaharaa baada ya hapo kabla ya mwisho wa mwezi katikati ya week moja nitamtongoza akikubali kesho yake nakula mzigo na baada ya mzigo nitamtoa 20 au 10 kama nauli ya kurudi anapoishi baada ya hapo mambo ya mwisho wa mwezi yatajulikana utakapofika mwisho wa mwezi .
Lakini ukiona umetongoza na demu anazingua KUTOA mzigo hiyo 50 basi ujue huyo alikuwa ni tapeli.........
Haya jamani tupeane nondo zaidi na changamoto za watoto mitandao ya mahaba