BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 4,788
- 8,491
Habar wana jamvi ?? Natumai tuko vzr tukiendelea kupambana na nchi yetu ambayo imesha kosa muelekeo . Anyway tusahau hayo nimeanzisha uzi ile nione wale wenzangu ambao wamesha wahi kupita makaburini endapo kama kuna njia mitaa hiyo ambayo inaweza kukufikisha mahali husika kwa haraka zaid hivyo mtu unakua hunabudi kukatiza makaburini .je kwa usiku vipi hali ya uoga kwao inakuaje au ilikuwaje??dah kwa upande wangu nimeshaga wahi kupita mara moja nilihisi kama nanyemelewa na kivuli cha maiti maana pako kimyaa usiombe hata panya apite duh unaweza ukaacha ndala. .