Nina afro kuna siku naona uvivu kuchana nywele so nikaanza kuvaa mizula mwaka 2010. Japo kwa sasa nimepunguza navaa zaidi caps.
Changamoto kubwa niliyokutana nayo especially ya mizula ni ile ninaonekana rasta man, pia kipindi naishi na wazazi ilikua ni ugomvi na mama alikua hataki kabisa nivae.
Napenda kofia ila kofia hazinipendi...nikivaa mzula nakua kama jambazi la Bongo movie.
Nikivaa cap kila mtu ananiambia sipendezi.
Kuna siku nilivaa Kofia ya Magufuli wakaniambia nmependeza.
Nafikiria kuanza kuvaa hizi Kofia za Magufuli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.