Wale ambao tupo addicted na kuvaa cape na mizura tukutane hapa tujadili changamoto tunazokutana nazo

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,046
4,608
Poleni na majukumu wazee wezangu

To be honestly me siwezi tembea bila cape, mzura au prova kwa kifupi sijawai acha kichwa changu wazi

Nilianza kuvaa mizura kiutani utani lakini asa hivi nshakua addicted siwezi tembea kichwa wazi yaani ni heri mtu anivue suruali ila sio kofia yaani nimekua much addicted nna miaka sita sasa

Changamoto nnayokutana nayo ni watu kutaman kupenda kuniona nikiwa open kitu ambacho ni kigumu sana kwangu, imagine hatua mtu anatamani akuvue kofia makusudi ili tu aone ulivo

In short mi sina tatizo lolote sina kipara, sina kipilipili wala nini ila napenda tu kustiri kichwa changu

Mwenye life style kama yangu aje tufarijiane Najua tupo wengi
 
Duh nakumbuka zamani nilikuwa napenda sana kuvaa kofia yaani ndio ilikuwa style yangu. Sasa kuna siku nikasema ngoja Leo nisivae.

Aisee watu walinishangaa sanaaaa wakaanza kuniambia kumbe usipovaa kofia ndio unakuwa unaharibika hivyooooo duh aiseee toka siku hiyo sikuvaa kofia tena maana niliona nibora wanizoee kwamuonekano wangu huohuo kuliko kujipendezesha kwakofia wakati sikuzaliwa nimevaa kofia. Ila I wish nianze kuvaa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu ana life style yake na mazoea yake,
Enjoy ur life,do what u want to do,
Go wherever u want to go,
Huwezi kuwaridhisha watu wala hukuja Duniani kuishi maisha ya kumfurahisha mwingine,Ukivaa kofia ni uamuzi wako na usipovaa ni uamuzi wako,acha kuishi kwa kusikiliza eti watu watanisemaje au wananichukuliaje! be free,life is very short.
 
mbona umetokwa povu we jamaa, jiamini utafanikiwa, tatizo lako hujiamini
 
Kila mtu ana life style yake na mazoea yake,
Enjoy ur life,do what u want to do,
Go wherever u want to go,
Huwezi kuwaridhisha watu wala hukuja Duniani kuishi maisha ya kumfurahisha mwingine,Ukivaa kofia ni uamuzi wako na usipovaa ni uamuzi wako,acha kuishi kwa kusikiliza eti watu watanisemaje au wananichukuliaje! be free,life is very short.
uwezo wako wa kufikiri ni mdogo
 
Mimi nikivaa cap nasifiwa nimependeza,tena mamanzi wengi wanapenda nivae cap mpaka kuna mmoja alinunua kwa aajili yangu ila sasa nikavaa naona kama kichwa kimezingwa zingwa tu nakua sipo huru,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni na majukumu wazee wezangu

To be honestly me siwezi tembea bila cape, mzura au prova kwa kifupi sijawai acha kichwa changu wazi

Nilianza kuvaa mizura kiutani utani lakini asa hivi nshakua addicted siwezi tembea kichwa wazi yaani ni heri mtu anivue suruali ila sio kofia yaani nimekua much addicted nna miaka sita sasa

Changamoto nnayokutana nayo ni watu kutaman kupenda kuniona nikiwa open kitu ambacho ni kigumu sana kwangu, imagine hatua mtu anatamani akuvue kofia makusudi ili tu aone ulivo

In short mi sina tatizo lolote sina kipara, sina kipilipili wala nini ila napenda tu kustiri kichwa changu

Mwenye life style kama yangu aje tufarijiane Najua tupo wengi
G

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom