Wale ambao tumewahi ku crack Kodi kadhaa kadhaa ngumu tupige stori zetu hapa!

CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,036
1,782
crack the code = to figure out how to do something (often something difficult)

Tukutane hapa tupige stori stori leo wik endi mazee.

Muhimu: Sio lazima uweke full details ya code zako, naelewa code zingine ni hatma ya maisha yako. Ila tupige tu stori kwa wanaoelewa huu Uzi.

Iliwahi kunitokea mara kibao sana nika crack codes kadhaa, zingine zilikuwa amazing na zingine zilikuwa za kipuuzi sana.

Tuendeleze stori
 
Ulianza vizuri.. Ila ulipoingiza habari za K umeuharibu uzi wako mwenywe
 
Ulianza vizuri.. Ila ulipoingiza habari za K umeuharibu uzi wako mwenywe
Kwa nn nidanganye? Kwa faida ya nani? Ilikuwa ukweli. Hata hvyo, uzi usipochangiwa nitateseka nini labda?
 
Back
Top Bottom