Wale ambao tumekatishwa tamaa na madaktari kwamba hatuwezi kuzaa tena tukutane hapa kwa nia ya kupeana moyo

Yaaan....waswahili wanasema ng'ombe wa masikini hazai.
 
Daaaaaa.....shemeji yenu alibahatika kupata ujauzito lakin ndan ya miezi miwili na nusu ikaharibika...na apo baada ya kusota miaka 4 bila majibu.
Kuwa na imani...raundi itakayofuatia mambo yatajipa!
 
Yeah ni kweli kuwa maisha yako yote huwezi shika mimba naturaly unless upandikizwe,na happy anakuambia alishawahi pandikiza embryo ikafa. Sema akapandikiza tena ndo akampata Kairo.
Unapata mtoto kwa shida unakuja kumwita Kairo

Ndo maana tunalaanika
 
Ni kweli,sasa ndio umekutwa na hilo tatizo, utafanyaje?utajiua,au utaendelea kusononeka ili upate magonjwa ya moyo?
Comment nzuri. Ukikutwa na hilo tatizo sio mwisho wa maisha. Kama unaamini kuwa na watoto ndio kila kitu waweza kuasili. Ila hata hao walio na watoto bado hawanaridhika na maisha bado wanahisi something is still missing. Kwahiyo ndugu mambo yote ni ubatili hapa duniani ni kama kujilisha upepo. Ukipata hiki unasema hiki bado.
 
Back
Top Bottom