Wale ambao mmebahitika kunifahamu

ID ya Nov 5, 2020.

Less than 6 months lakini unaonekana unafahamiana na watu wengi wa humu nje ya humu.

I wish I know the motive ya huu uzi. Au ndo unatuambia unatafuta rafiki wa kweli?
 
Sio lazima kutuma picha wala kumpa mtu taarifa zako. Unaweza kuamua kumwambia "sikupi" na sababu zipo wazi kuliko kumdanganya.

Una uhuru wa kukataa jambo,sio lazima kudanganya kama vile ni lazima utume picha au utoe taarifa zako.
๐•ต๐–Ž๐–‹๐–š๐–“๐–Ÿ๐–Š ๐–๐–š๐–˜๐–Š๐–’๐–† ๐–๐–†๐–•๐–†๐–“๐–†.
 
Back
Top Bottom