hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,116
Mie nampango wakununua bastola ili uzee ukiingia na naanza pata tabu basi najipiga risasi mambo yamiesha.
Mie nampango wakununua bastola ili uzee ukiingia na naanza pata tabu basi najipiga risasi mambo yamiesha.
OyeeeeMwaka Jana niliskitika sana baada ya kutafakari kwa tukio LA kutambulishwa ukweni na kuanza kuwaza mawazo kutoka kwa pepo mchafu aitwae ndoa
Nakushukuru sana bidada kwa kuonesha makucha mapema hivyo ubaki mzazi mwenzangu tu
Na Mimi kama mwenyekiti wa hiki chama cha bachelor forever (BF) naunga mkono hoja ya katibu wangu
haya nakalibisha wajumbe kuweza kuchangia chochote kile ili kuweza kudumisha na kukuza chama chetu
BF hoyeeee3
Karibuni wajumbe
Kuna walioa oa /kuolewa na wakaishia kukimbiwa na wake zao ... Maisha yako very complicatedMtakuwa mnajinyea na hakuna wa kuwaosha mnathamani marafiki watakuwa wanawapita tu kama hawawaonj
Kuoa sio lazima mbona tunafyatua risasi na bado hatujao braza....unajua wengine unafiki wakusema kiwa nimeoa alafu uishia kichepuka hatutaki maana tunajijua kiwa papuchi mona haitutoshi
Kaa mbali na hili genge LA watumiajiNdoa ni sakreamenti takatifu..na kabla hujaingia ndoani sugua goti Mungu akupe yule aliye sahihi na mwenye hofu yake.
Embu oeni huko mfyuuu.
Mkuu kama una watoto naye,, unaezaje kuwatelekeza watoto na mama yao,hii kitu mi ndo inanifanya nateseka mpaka kesho,natamani nipate muafaka nijiunge kwenye chama cha mabachela,hebu tupe nondo uliwezaje kumbwaga mama watoto,Mwaka Jana niliskitika sana baada ya kutafakari kwa tukio LA kutambulishwa ukweni na kuanza kuwaza mawazo kutoka kwa pepo mchafu aitwae ndoa
Nakushukuru sana bidada kwa kuonesha makucha mapema hivyo ubaki mzazi mwenzangu tu
Na Mimi kama mwenyekiti wa hiki chama cha bachelor forever (BF) naunga mkono hoja ya katibu wangu
haya nakalibisha wajumbe kuweza kuchangia chochote kile ili kuweza kudumisha na kukuza chama chetu
BF hoyeeee3
Karibuni wajumbe
Na ukikuta mkeo kaliwa utakua na ujasiri wa kusema lazma uoe Tena,mda mwingne ni kulea watoto na kuish maisha ya kuhuni,Usipo oa, usipo zaa, huo urijali wako utauonesha wapi?
Usiwe haudindi alafu ukasingizia mambo mengine ili usioe.
Nasema hivi kama mwanamme rijali kabisa (bunduki imejaa risisi) lazima uoe, hayo ya kuzaa mungu ndio anae jua.
Nikiwa kama kidume, nimeoa na nina watoto wawili (wakiume tupu) na shemeji yenu ana mimba ya miezi mitatu.
Na ukikuta mkeo kaliwa utakua na ujasiri wa kusema lazma uoe Tena,mda mwingne ni kulea watoto na kuish maisha ya kuhuni,
Acha matuc bhana,cjauliza kwa ubaya wengne tuna experience,na tuna watoto nawaza tu kwa herfi kubwa kua ukikuta mkeo ana mahusiano mengne mengi ,bado utakomaa na ndoa au utajiunga bachela gangNdoa ni Kama kamari je ukiliwa utaona poa?
Fid Q
Acha matuc bhana,cjauliza kwa ubaya wengne tuna experience,na tuna watoto nawaza tu kwa herfi kubwa kua ukikuta mkeo ana mahusiano mengne mengi ,bado utakomaa na ndoa au utajiunga bachela gang
Sawa mkuu,mkikomaa nyie kwenye ndo mtatuwakulisha,mi najiandaa kuvua gwandaNahilo ndo ambalo mi pia nmeuliza kwa kutumia mstari wa fid q sio kwa ubaya mkuu
Sawa mkuu,mkikomaa nyie kwenye ndo mtatuwakulisha,mi najiandaa kuvua gwanda
HAPa ni africa. Sio ulaya.Ni hali halisi kuwa kupanga ni kuchagua. anayeoa na asiyeoa ni suala la mizani hiyo lakini ni ukweli usiopingika kuwa faida kubwa ya mwenza ni kwamba haujawai kuwepo mbadala wa mke/mme katika huduma za sirini hasa ukiumwa. ndugu na marafik huyeyuka mda wowote. upweke nao huleta kifo cha mapema.
Hata hivyo tuko katika nyakat za ndoa hatarishi tena za kukusababishia maradhi, msongo au kifo cha mapema kias kwamba hata mafanikio mengine kama mali na fedha yasiwe na tija kwako hapa duniani.
Basi kama tunakubaliana asiyeoa/asiyeolewa amejiepusha na mengi imebaki ni miundombinu gani mhusika na jamii tuwekeane ili ukifika hatua ya kuhitaj usaidiz nguvu zimekata bado uzipate. nashauri tuanze na BIMA ya kutunza wazee. itasaidia sana. ikibidi ukizeeka pesa zako zikuogeshe, zikusafishe, zikulishe bila kulia lia kwa kila mtu awe ndugu au rafiki na jamaaa tena wanaotaman ufe wale vyako.
Tufike mahali jamii iaminishe kizaz cha leo na kesho kuwa ndoa si lazma.wala si mafanikio(bali mafanikio ni kuishi vyema katika ndoa hiyo). kuzaa si lazma. hata unyanyasaji wa kijinsia utapungua. hata wanaoweka ukosef wa ndoa kwenye mikos watapumua. KWA MAANA JAMBO MUHIMU KATIKA MAISHA NI MOJA TU ...KUWA NA FURAHA!
Hupendi watoto? Huna akiliHuwa nataman sana kuishi bila Mtoto ila niwe na mke(Natafuta mke ambae hazai au hana mpango wa kuzaa) ,sijaona faida za kuwa na watoto mpaka sasa,ingawaje nimejkuta Kuna kibinti kmoja kimeniingiza mkenge kimeshika ujauzito,
Nilishawahi kutafakari hilo la kuzeeka au ukiugua nani atanihudumia kwa moyo wote kama ambavyo mke au watoto wangefanya,lakin watoto wa siku hz hawana msaada sana kwa wazazi wao,akishapata familia yake,wazazi ana wasahau.
Nipe faida ya kuwa na mtotoHupendi watoto? Huna akili
Faida zipo ingawa wazazi wako hawakubahatika kupata faida bali hasaraNipe faida ya kuwa na mtoto
Ni kwel, kwangu Mimi sjatoa faida yoyote kwa wazazi wangu,zaidi ya kuwa mzigo,labda wao wanaijua faida yangu kwao,ulivyo pimbi umekosa faida za watoto,unasema tu zipo lakini kuzitaja umeshindwaFaida zipo ingawa wazazi wako hawakubahatika kupata faida bali hasara