Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,957
- 8,073
CCM kula yangu wamepata
Binafsi sitoenda kupiga kura, kupiga kura si lazima, hakuna mashtaka yeyote nisipoenda kupiga kura, siwezi poga kura ambazo bado zitaibiwa.Ccm waategemea polisi tu kushindwa..
Solution ni kugoma kbxa kwenda kupga kura, coz hata ukipiga kura ccm wanaiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipowaona wengine kapige misele tuUsipochagua ccm utachagua wagombea wa chama gani
SawaBinafsi sitoenda kupiga kura, kupiga kura si lazima, hakuna mashtaka yeyote nisipoenda kupiga kura, siwezi poga kura ambazo bado zitaibiwa.
Kwa kuwa hawana aibu wanaweza kufanya hivyo.Ila nimewahi kuona wasimamizi wa vituo vya kupigia kura wakipiga kura,wakapata kura nyingi kuliko 2015.Naam hii ni sahihi "-- lakini hata msipokwenda kupiga wanaweza hata kwenda kuwachukua wa-malawi huko wakawalipa pesa kisha wakawaambia wawapigie kura " Na baada ya hapo wakajitangazia ushindi
Sent using Jamii Forums mobile app