Wale ambao hatutampigia kura mgombea yeyote wa CCM tukutane hapa

Dah...wale wanaopigia kura vyama...ni wale wapiga pereteperete ndani ya chama ambao wanaishi kwa huruma ya ruzuku na sadaka za wanachama...pia na wale wezi walioahidiwa fursa ya kuiba pindi chama fulani kitakapokaa dolani...... Mpigakura makini husubiri hadi siku ya kupiga kura ndiyo hufanya maamuzi...ukweli mchungu

Sent using Beretta ARX 160
 
Njia bora kabisa nikusubiri watanzania tunyooshwe tusome namba zaidi ya hii tukichoka ndio tutatumia akili sio ushabiki tena nafahamu chadema wanalijua hili ndio maana wanaongea kwa mafumbo lejea ya godbless lema kuwa watanzania tutakuwa wajinga tusipo tetea maslai yetu unajua nini mzarendo wa kweli ni yule anaekuambia ukweli
 
Naam hii ni sahihi "-- lakini hata msipokwenda kupiga wanaweza hata kwenda kuwachukua wa-malawi huko wakawalipa pesa kisha wakawaambia wawapigie kura " Na baada ya hapo wakajitangazia ushindi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa hawana aibu wanaweza kufanya hivyo.Ila nimewahi kuona wasimamizi wa vituo vya kupigia kura wakipiga kura,wakapata kura nyingi kuliko 2015.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom