Wale ambao hatutampigia kura mgombea yeyote wa CCM tukutane hapa

Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
11,848
2,000
Dah...wale wanaopigia kura vyama...ni wale wapiga pereteperete ndani ya chama ambao wanaishi kwa huruma ya ruzuku na sadaka za wanachama...pia na wale wezi walioahidiwa fursa ya kuiba pindi chama fulani kitakapokaa dolani...... Mpigakura makini husubiri hadi siku ya kupiga kura ndiyo hufanya maamuzi...ukweli mchungu

Sent using Beretta ARX 160
 
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
7,376
1,995
Njia bora kabisa nikusubiri watanzania tunyooshwe tusome namba zaidi ya hii tukichoka ndio tutatumia akili sio ushabiki tena nafahamu chadema wanalijua hili ndio maana wanaongea kwa mafumbo lejea ya godbless lema kuwa watanzania tutakuwa wajinga tusipo tetea maslai yetu unajua nini mzarendo wa kweli ni yule anaekuambia ukweli
 
T

Timiza

JF-Expert Member
Nov 29, 2017
5,148
2,000
Kurudia kosa ni matumizi mabaya ya akili na mda
 
T

Timiza

JF-Expert Member
Nov 29, 2017
5,148
2,000
Amasisheni Jirani, rafiki,ndugu na Jamaa wasirudie kosa.Ni dhambi
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
25,430
2,000
Binafsi sitoenda kupiga kura, kupiga kura si lazima, hakuna mashtaka yeyote nisipoenda kupiga kura, siwezi poga kura ambazo bado zitaibiwa.
Sawa
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
41,374
2,000
Binadamu wanafiki sana...

Cc: mahondaw
 
G

Gellangi

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
738
1,000
Naam hii ni sahihi "-- lakini hata msipokwenda kupiga wanaweza hata kwenda kuwachukua wa-malawi huko wakawalipa pesa kisha wakawaambia wawapigie kura " Na baada ya hapo wakajitangazia ushindi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa hawana aibu wanaweza kufanya hivyo.Ila nimewahi kuona wasimamizi wa vituo vya kupigia kura wakipiga kura,wakapata kura nyingi kuliko 2015.
 
Top Bottom