Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Mimi huyu nisinywe bia? Yaniiiii nisilipe kodi!? Mi mlipa kodi

Baada ya kuila siku nzima nahisi kiu nakunywa maji muda wote
Nilitaka kushangaa ujanja wote huo usinywe


Niko Rudy's farm now karibu
IMG_20210626_180515_7.jpg
 
Zipo nyuma ya sheli mpya hapo msamvu. Sheli inayofuata baada ya hiyo ambayo daladala za mikese zinasimama ukiwa unarazama uelekeo wa nanenane. Kwa daladala hicho kituo kinaitwa maraha. Fuata hiyo barabara ya vumbi
Nashukuru Mkuu nimeshaenda kama mara mbili, kitimoto yao ya kuchoma wako vizuri sana,ila kwenye rost sijawaelewa kwa kweli!
 
Back
Top Bottom