Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Kuna siku niliwachambaaa. Bahati yao sikua nalipa bill mimi ila ningeondoka na bill washike adabu wajifunze kuheshimu wateja.
Yani mtu unamuomba bill anatumia 40mins kuandaa.
Management ya pale inawalea wale wahudumu
Haaahaa....eti niliwachambaa, wana dharau kinoma mi bora kwenye msosi sizinguliwi kivile....ishu ni ile car wash yao asee, waliniharibia sensor za milango kuwauliza full kuchukulia simple!....haahaa pale ni jina ndo linauza ila service mmiliki ajiangalie
 
Mmiliki ajiangalie kweli.

IMG_2611.JPG
 
Back
Top Bottom