Walaji wa kamongo: Wanapatikana kwa oda, tuwasiliane

Luushu

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
812
468
Wale wanawajua kamongo kutoka singida kazi kwenu sasa nawaleta dar kila tar kumi kwa ordar tu

Kama unahitaji nipigie au sms no 0755250190 naondoka jumanne kuwafuata ukipiga nitakuambia bei
f7ec47b060e7ff769d0f46fb642392d5.jpg
 
Hawa kamongo waliopasuliwa na kukaushwa kama aliyepo pichani wasipoandaliwa katika mazingira safi na salama ni hatari sana kiafya. Kuna baadhi ya wavuvi wake wanapowapasua uwa wanawaweka chini na kutumia miguu yao kuwakanyagakanyaga ili waweze kutanuka vizuri na kuwaweka katika huo muonekano uliopo pichani. Sina nia ya kuharibu biashara ya mtu ila kuna wavuvi wenye tabia ya kufanya hivyo hasa kwa aina hiyo ya samaki.
 
Nyaka one ulichosema no kweli nalijua hilo mimi huwa nanunua wabichi napasua mwenyewe nakausha kwa jua ndio nasafirisha na ikitokea nimenunua mkavu nawajua vizuri kwa mwonekano tu takwambia huyu sio kwa kuwa mi mwenyewe nilisha wavua miaka ya 90 mvuvi hanidanganyi
 
Wale wanawajua kamongo kutoka singida kazi kwenu sasa nawaleta dar kila tar kumi kwa ordar tu

Kama unahitaji nipigie au sms no 0755250190 naondoka jumanne kuwafuata ukipiga nitakuambia bei
f7ec47b060e7ff769d0f46fb642392d5.jpg
Kama huyu wa kwenye picha ndio bei gani?
 
Aisee ukiangalia vizuri amejiumba nakshi nakutengeneza umbo kama la WEPA SEPENGA
Lazima atakuwa anaongeza Adroid huyo(Nguvu za Kiume)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom