Walahi huu ni Ugonjwa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
36042_156989037654849_100000312607117_350260_5385728_n.jpg
 
mchina wapi, na wala sio ugonjwa. Kama ni ugonjwa basi na barabara imeambukizwa. Ona mistari ya barabara ilivyopindishwa. Mambo ya photoshop.
 
Vitu hadimu sana hapa kwetu Kariakoo, kikipita kama hiki, walahi atakufa mtu hapa.
 
Hii ni zaidi ya kazi ya mchina, labda ni kazi ya mjerumani hiyo.
 
mchina wapi, na wala sio ugonjwa. Kama ni ugonjwa basi na barabara imeambukizwa. Ona mistari ya barabara ilivyopindishwa. Mambo ya photoshop.

ni Mchina jamani tusibishane saana, kwani vile visimu vinavyopindishapindisha sura si vya mchina hivyo? kila kitu made in CHINA.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom