Walaaniwe wote wanaoupotosha umma wa Tanzania - Mhariri, Mwananchi

Hata nyinyi chadema mkipata mambo ni yaleyale tumeona viti maalum mmepeana wachaga watupu je hii ni hakiii


Kumbuka cheo ni dhamana. Na kwenye dhamana kuna kuwajibika.

Yeyote anayekuwa madarakani, ili aendeshe madaraka yake kwa amani ni LAZIMA ATENDE HAKI.

Ukifumbia macho hilo, wewe ni raia usiyejua unachokitegemea toka kwa watu unaowapa dhamana kukuongoza kwa kuwapa kura zako.

Hili linapasika kuwa somo la kwanza la uraia: KUWADAI WATU ULIOWAPIGIA KURA WAKUTENDEE HAKI!

Neno hili ni MSINGI WA UWAJIBIKAJI.
 
madai ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni ya msingi, kuacha kuingia katika vikao vyote vya bunge hadi madai hayo yatakapotekelezwa ni ujasiri, kutoka bungeni wakati hotuba ya raisi inaanza ni unafiki, uzandiki, roho mbaya, ubinafsi na kuendeleza chuki zisizo na maana, sasa mwenye akili apime kutoka bungeni na kubaki kipi kinajenga heshima,kushawishi hata wabunge wasio wa chama chako kukubali hoja hizo ili ipatikane katiba na tume huru ya uchaguzi? Ninachofahamu madai ni ya msingi lakn njia iliyotumika inaturudisha nyuma sana, tunawategemea wabunge wa ccm katika hili, acheni utoto na siasa za chuki, chadema wamechemsha na lazima waambiwe, mwanachi ni gazeti kama magazeti mengine na lina interest zake lisimwagiwe sifa hapa.

safari ni hatua,no revolution without strategies,mtenda hutendwa,ccm ni pono mtumwa wa usingizi.
 
Your name reflects it all,una kibiongo cha ubongo

Haitoshi hivyo2,HUYU MTU HAJUI MAANA YA MTU KUWA GREAT THHNKER,ANATAKIWA AJUE KWA NINI MTU AU WATU WANAFANYA JAMBO FULANI? Je anajua kwamba kila jambo litapata mitazamo tofauti ya aina tatu?(to every action there's equal and opposite reaction)?.MADUDUMIZI HUISHI KWA MAZOEA.TUNATANGULIA WATATUKUTA MBELE YA SAFARI.
 
Hata mimi nimeshangaa jinsi watu tulivyoupokea mgomo wa CHADEMA, yaani kuna watu wameapiza na kuapiza. Nafikiri kufuatana na kanuni za bunge, ni kitu ambacho kipo na hakina adhabu kama Mh Sitta alivyosema, na kwa wanaofuatilia mabunge ya wenzetu hii sio ajabu. Kuna ambao wanatamani kumbeba mheshimiwa rais kwenye mbeleko (mgongoni) kwa jinsi wanavyoona kama kaonewa mno kwa kitendo hiki.
Mimi nashangaa baadhi ya watu wanovyoupokea mgomo wa waislam kugomea sensa kwa mtazamo tofauti, haki yao waacheni wagome kwani nao wanaigomea serikali hiyohiyo iliyo
 
Hata nyinyi chadema mkipata mambo ni yaleyale tumeona viti maalum mmepeana wachaga watupu je hii ni hakiii

Kweli kabisa yaani nyinyi wenye akili ya maiti huwa hamdanganyi maana Suzan kiwanga ni mchaga,sungura ni mchaga,matiko ni mchaga,chiku ni mchaga,christowaja ni mchaga,gekul ni mchaga nk.bado kidogo wimbo wa ukabila utafanya watu wapigwe viboko.
 
Back
Top Bottom