Walaaniwe wote wanaoupotosha umma wa Tanzania - Mhariri, Mwananchi

Salute alichoandika ni ukweli hakika,inashangaza CCM badal aya kujibu hoja,mao kila siku wakimbilia sheria tena huku wakijua kabsa wao wako wengi katika bunge letu na hivyo hoja yoyote kutoka kwao hata kama haina mantiki lakini mwenye Chama akisema ndiyo na wabunge wake wanasema ndiyo................kwao wao CHAMA MBELE ila TAIFA LETU na maslahi yake vyote nyuma.................
 
Madai ya KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI NI YA MSINGI, kuacha kuingia katika vikao vyote vya bunge hadi madai hayo yatakapotekelezwa ni ujasiri, kutoka bungeni wakati hotuba ya raisi inaanza ni Unafiki, uzandiki, roho mbaya, ubinafsi na kuendeleza chuki zisizo na maana, sasa mwenye akili apime kutoka bungeni na kubaki kipi kinajenga heshima,kushawishi hata wabunge wasio wa chama chako kukubali hoja hizo ili ipatikane katiba na tume huru ya uchaguzi? Ninachofahamu madai ni ya msingi lakn njia iliyotumika inaturudisha nyuma sana, tunawategemea wabunge wa ccm katika hili, ACHENI UTOTO NA SIASA ZA CHUKI, CHADEMA WAMECHEMSHA NA LAZIMA WAAMBIWE, MWANACHI NI GAZETI KAMA MAGAZETI MENGINE NA LINA INTEREST ZAKE LISIMWAGIWE SIFA HAPA.
 
Alietoa hii habari ana akili sana, izi ndo hoja tunazitaka si majungu na kujifanya kutabiri. Hongera sana mtoaji mada
 
Na ulaaniwe mwenyewe na uzao wako. Chadema walipoingia kwenye uchaguzi hawakujua kuwa katiba iliyopo ina mapungufu hayo???? Baada ya kushindwa urais ndipo wanatukosea heshima tuliowatuma bungeni. Kudadadeki, walichemsha wapende, wasipende na wote mnaoshabikia upuuzi huo, ...................... ah, bora ninyamaze tu.

Unamjua Malcom X?Tuchukulie alikuwa anaiongelea Tanzania ya sasa,hasa alipoongelea Field Nigger na House Nigger!Wewe upo wapi? Acheni ushabiki katika mambo yanayohusu mustakabali wa nchi yetu!Tatizo letu tunapenda ushabiki yaani kila kitu ushabiki!
 
kichwa cha habari kimetulia....content ni ya chama fulani...... heading ingeoana na content ningejibu NA WATU WOTE WASEME AMINA.... tuanze na kusema kuwa WALAANIWE WATU WOTE..(cuf,chadema ccm,tlp,nccr,mashehe,wachungaji,mabalozi,wawekezaji,WAANDISHI WA HABARI) WANAOPOTOSHA UMMA WA WATANZANZANIA NA KUWATAKIA WATANZANIA MABAYA........NA WATU WOTE WASEME AMINA....!
 
Na ulaaniwe mwenyewe na uzao wako. Chadema walipoingia kwenye uchaguzi hawakujua kuwa katiba iliyopo ina mapungufu hayo???? Baada ya kushindwa urais ndipo wanatukosea heshima tuliowatuma bungeni. Kudadadeki, walichemsha wapende, wasipende na wote mnaoshabikia upuuzi huo, ...................... ah, bora ninyamaze tu.

Hilo jina ulilojipachika linakufaa kabisa na inaonekana akili zako pia kama jina lako.
 
madai ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni ya msingi, kuacha kuingia katika vikao vyote vya bunge hadi madai hayo yatakapotekelezwa ni ujasiri, kutoka bungeni wakati hotuba ya raisi inaanza ni unafiki, uzandiki, roho mbaya, ubinafsi na kuendeleza chuki zisizo na maana, sasa mwenye akili apime kutoka bungeni na kubaki kipi kinajenga heshima,kushawishi hata wabunge wasio wa chama chako kukubali hoja hizo ili ipatikane katiba na tume huru ya uchaguzi? Ninachofahamu madai ni ya msingi lakn njia iliyotumika inaturudisha nyuma sana, tunawategemea wabunge wa ccm katika hili, acheni utoto na siasa za chuki, chadema wamechemsha na lazima waambiwe, mwanachi ni gazeti kama magazeti mengine na lina interest zake lisimwagiwe sifa hapa.

ukweli ni ukweli hata hakuna anaetaka kuusikia, hakuna aujuaye au hakuna aupendae. Aliyechemsha ni wewe. Kama madai ya kudai katiba ni madai ya msingi. Vipi anayepuuzia hayo madai ya msingi; ni wa kumchekea na kumpigia makofi wakati nchi inaangamia. Ama huelewi ama ni mnafiki. Na ulaaniwe wewe pia uletaye unafiki hata nchi yako ikiangamia.
 
Nakubaliana na mhariri hapo

Wana Chadema naona mmemfagilia sana huyo mhariri lakini kesho akija na issue ya kukosoa Chadema wote mtasema amenunuliwa na mafisadi!
Tatizo ni kwamba unatakiwa ukweli wa upande mmoja tu:teeth::teeth:
 
Na ulaaniwe mwenyewe na uzao wako. Chadema walipoingia kwenye uchaguzi hawakujua kuwa katiba iliyopo ina mapungufu hayo???? Baada ya kushindwa urais ndipo wanatukosea heshima tuliowatuma bungeni. Kudadadeki, walichemsha wapende, wasipende na wote mnaoshabikia upuuzi huo, ...................... ah, bora ninyamaze tu.

Your name reflects it all,una kibiongo cha ubongo
 
Ni bahati mbaya kwamba Rais katika vipaumbele 13 vya serikali yake katika kipindi kijacho hakugusia masuala hayo ambayo Chadema inayadai. Baadhi ya vyombo vya habari vimefanya juhudi za makusudi kuwapotosha wananchi badala ya kuwaelimisha kuhusu suala hili linalohusu muktakabali wa nchi yetu. Sisi tunasema kuwa juhudi za Chadema na wanaharakati wengine zitashinda ili mwishowe upande huu wa Jamhuri ya Muungano nao upate maridhiano kama yaliyopiganiwa vilivyo na CUF huko Zanzibar.

Utamu wa siasa za nchi hii upo hapo juu.............................vipaumbele vya CCM havina uhusiano na hali halisi ya kero za kitaifa na utaifa............
 
ukweli ni ukweli hata hakuna anaetaka kuusikia, hakuna aujuaye au hakuna aupendae. Aliyechemsha ni wewe. Kama madai ya kudai katiba ni madai ya msingi. Vipi anayepuuzia hayo madai ya msingi; ni wa kumchekea na kumpigia makofi wakati nchi inaangamia. Ama huelewi ama ni mnafiki. Na ulaaniwe wewe pia uletaye unafiki hata nchi yako ikiangamia.

Ukimchukia mtu wakati unataka kitu kwake haisaidii, ninyi ndio wale wenye akili za kushikiwa za kupigana na ukuta, utaishia kuumia tu! mnatafuta huruma ya mataifa badala ya kumshawishi rais kupitia wabunge kwa njia bora, hata hivyo hujui wewe kuwa originally lile lilikuwa kunji la kutomtambua rais na sio suala la katiba mpya wala tume, zile ni after thought za Mbowe baada ya kujiona kachemsha!
 
Na ulaaniwe mwenyewe na uzao wako. Chadema walipoingia kwenye uchaguzi hawakujua kuwa katiba iliyopo ina mapungufu hayo???? Baada ya kushindwa urais ndipo wanatukosea heshima tuliowatuma bungeni. Kudadadeki, walichemsha wapende, wasipende na wote mnaoshabikia upuuzi huo, ...................... ah, bora ninyamaze tu.
acha upunguani wewe ina maana ukiwa vitani katika mstari wa mbele na kukumbuka umesahau kofia (helmet) utaacha mapambano uirudie au utaendelea na vita ukitarajia kutosahau kofia tena kama utasalimika? au unataka upinzani ususie Uchaguzi maana ndo CCM wanachotafuta!
 
Good but siajelewa hapa anaposema " Sisi tunasema kuwa juhudi za Chadema na wanaharakati wengine zitashinda ili mwishowe upande huu wa Jamhuri ya Muungano nao upate maridhiano kama yaliyopiganiwa vilivyo na CUF huko Zanzibar. " Anamaanisha Chadema wafanye kama CUF au?
 
hamaanishi serikali mseto hapa anamaanisha katiba mpya na tume huru
 
Tabia ya kuhamisisha maandamano na kuchochea migomo iliyoasisiwa na cdm ni hatari kwa ustawi wa taifa letu . Ninawaomba watanzania wote wenye nia njema kulaani hii tabia inayooteshwa kwa vijana wa kitanzania.
 
yaani watu wanadai haki zao wewe unaihusisha chadema..? ulaaniwe wewe mwenyewe nyambafffu
 
Tabia ya kuhamisisha maandamano na kuchochea migomo iliyoasisiwa na cdm ni hatari kwa ustawi wa taifa letu . Ninawaomba watanzania wote wenye nia njema kulaani hii tabia inayooteshwa kwa vijana wa kitanzania.

Watawala wakitenda haki, amani inakuwepo.

Watawala wa Tanzania wanajinufaisha wenyewe, na maisha bora kwa walio wengi yanakuwa ni ndoto. Hapo ndipo maandamano yanatokea.

Serikali ijaribu kutendea haki makundi hayo yanayogoma na kuandamana kwanza kabla ya kuwalaumu.

Ukosefu wa fedha serikalini ambao ndicho kisingizio kwa serikali udhihirike hata katika maisha ya viongozi wetu (mishahara, magari ya gharama, marupurupu, matibabu nje n.k.).

Watuongoze kwa kutuonesha mfano wa kuishi kwa kujibana kutokana na serikali kutokuwa na pesa. Kisha wasimamie vipaumbele vya walio wengi ambao ni wanyonge.

Wakifanya hivyo migomo itaisha kabisaaaaaaaa!!
 
Watawala wakitenda haki, amani inakuwepo.

Watawala wa Tanzania wanajinufaisha wenyewe, na maisha bora kwa walio wengi yanakuwa ni ndoto. Hapo ndipo maandamano yanatokea.

Serikali ijaribu kutendea haki makundi hayo yanayogoma na kuandamana kwanza kabla ya kuwalaumu.

Ukosefu wa fedha serikalini ambao ndicho kisingizio kwa serikali uonekane hata katika maisha ya viongozi wetu. Watuongoze kwa mfano!!

Hata nyinyi chadema mkipata mambo ni yaleyale tumeona viti maalum mmepeana wachaga watupu je hii ni hakiii
 
Back
Top Bottom