Walaaniwe wote wanaopenyeza siasa za 'Ujecha' katika demokrasia yetu

BURUTA

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
589
765
Ni ukweli usiopingika kwamba ujecha - yaani siasa za kibabe zisizofuata misingi murua ya demokrasia imenza kuota mizizi hapa nchini. Hii ni pamoja na kufuta matokeo, kubadilisha matokeo nk unawofanywa na mamlaka za uchaguzi kwa njia za kibabe tu bila kufuata misingi ya katiba na sheria zilizopo.
 
Walaaniwe wote waliomkaribisha fisadi mkuu kugombea urais ukawa pamoja ccm b kina sumaye na kingunge ambao wamesababisha kusambaratika kwa upinzani tanzania
 
Back
Top Bottom