Walaaniwe wauza unga wote

MasterP.

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
7,979
6,236
Huyu jamaa anahitaji maombi...
1483340926934.png
 
Sasa mkuu hao watumiaji wanapata wapi huo unga kama siyo kwa hao wauzaji??
Wauzaji wanauza sabanu kuna watumiaji! Usikute wanawatafuta wauzaji ili waagize mzigo.

Ukumbuke muuzaji yeye hapati athari yeyote kwa kuuza iweje mtumiaji anajua fika madhara ya madawa afu ajiingiza huko. Au nishawishi kwambq awajui.
 
Teh teh teh.....mabadiliko hayo kwa tz...hadi miaka 150. Ya uhuru itimie ndo tutaweza...bt 4 nw. N story tu....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom