Wakwere ni Kawaida Yao Kujionesha-onesha

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
hii nimetonywa na mtu anayewajua vizuri awa viumbe.

wanapenda misifa (wahaya wanasingiziwa).

kesho naskia jamaa anafanya misifa mingine viwanja vya Ikulu. anachangisha chapaa za kujenga uzio kuzunguka UDSM. sijui huu mpango manake nini? kwamba udsm iwe gereza au?

yangu macho.
 
Mkwere haishiwi vituko ndugu yangu Ng'wanangwa!
Akihisi kuishiwa vituko anasogea kwa jamaa zake wazaramo au wandengereko kuwaazima vituko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom