Wakwepa kodi wakubwa Arusha wadakwa mmoja baada ya mwingine

RingaRinga

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
1,041
510
Mmoja ahojiwa na kusafirishwa usiku wa manane kwenda Dar:
Kikosi maalum cha kupambana na ufisadi kimeendelea kuwadaka wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi mjini Arusha ambao wameisababishia serikali hasara ya mabilioni ya shilingi.
My take:
Si ajabu hawa ni wafadhili wakubwa wa CHADEMA,

Waliosema CCM pekee ndo wanaisoma namba 'stay tuned'
Chanzo cha habari - Mtanzania
Mshikemshike wa vinara wakwepa kodi
 
Mkuu Mleta Mada Fafanua (Weka Nyama)
Uzi Huu Watu Wauchangie Kwa Uwazi
 
Mmoja ahojiwa na kusafirishwa usiku wa manane kwenda Dar:
Kikosi maalum cha kupambana na ufisadi kimeendelea kuwadaka wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi mjini Arusha ambao wameisababishia serikali hasara ya mabilioni ya shilingi.
My take:
Si ajabu hawa ni wafadhili wakubwa wa CHADEMA,

Waliosema CCM pekee ndo wanaisoma namba 'stay tuned'
Hii habari yako ya kinafiki, hapa ni jf ni kina nani wamehijiwa? Nani kapelekwa Dar?
 
Mmoja ahojiwa na kusafirishwa usiku wa manane kwenda Dar:
Kikosi maalum cha kupambana na ufisadi kimeendelea kuwadaka wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi mjini Arusha ambao wameisababishia serikali hasara ya mabilioni ya shilingi.
My take:
Si ajabu hawa ni wafadhili wakubwa wa CHADEMA,

Waliosema CCM pekee ndo wanaisoma namba 'stay tuned'
Akili zako zinatia kinyaa maana Chademaaaa chademaaaa poyoyo mkubwa
 
Inawezekana. Lakini je! Vipi kuhusu visandarusi pale Stanbic? Navyo ni vya Chadema? EPA? Green Finance? Meremeta? Nyumba za serikali? Kiwira? Ina maana wakati huo usalama wa nchi ulikuwa chini ya peoples? Hebu kuweni na aibu jamani. Mlipokosea kubalini na kutubu ili Mungu as mbinguni a wear kuwasamehe. Ndiyo maana wa tz wanataka radimu ya yule mzee wa Ikizu siyo ile ya mdundiko kule mjengoni
 
Mmoja ahojiwa na kusafirishwa usiku wa manane kwenda Dar:
Kikosi maalum cha kupambana na ufisadi kimeendelea kuwadaka wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi mjini Arusha ambao wameisababishia serikali hasara ya mabilioni ya shilingi.
My take:
Si ajabu hawa ni wafadhili wakubwa wa CHADEMA,

Waliosema CCM pekee ndo wanaisoma namba 'stay tuned'
Wawe wafadhiri wa CHADEMA au CCM ,CUF au NCCR ,ACT au TLP ufadhili huo sio chambo ya kukwepa kodi na wala hakuwasafishi kuitwa wezi na wahujumu uchumi wa taifa letu, A GOOD CITIZEN lazima awe mlipa kodi mwaminifu kwa taifa lake haijalish yupo karibu na nani wala chama gani.
 
Nakushauri ueleze hicho unachokifahamu kwa ufasaha au unyamaze milele.
 
Wakuu
Mbona kila kukicha tunashusha hadhi ya jamvi hili?
Hili jamvi lilianza kama is great thinkers sasa linaanza kujikita kwenye malumbano na itikadi za vyama.
-Ni vyema tukajadili maswala ya vyama vyetu kwa mantiki badala ya ushabiki.
 
Inawezekana. Lakini je! Vipi kuhusu visandarusi pale Stanbic? Navyo ni vya Chadema? EPA? Green Finance? Meremeta? Nyumba za serikali? Kiwira? Ina maana wakati huo usalama wa nchi ulikuwa chini ya peoples? Hebu kuweni na aibu jamani. Mlipokosea kubalini na kutubu ili Mungu as mbinguni a wear kuwasamehe. Ndiyo maana wa tz wanataka radimu ya yule mzee wa Ikizu siyo ile ya mdundiko kule mjengoni
umeandika kama mwanaume wa dar!! japo nimekuelewa ila kwa shida sana nataman urudie kusoma ulicho andika
 
Hawa jamaa ndo walikuwa wanampinga sana JPM mwaka Jana na kumchangia mapesa mengi mamvi, acha wakamuliwe wezi wakubwa hawa.
 
Unatoa taarifa kama umekurupushwa? Acha ushabiki mandazi eleza habari imekamilika......nani kapelekwa Dar usiku wa manane? Ujinga ukizidi noma sana
 
W/biashara hawa ndo walikuwa wafadhili wakubwa wa ccm na pia maswahiba wakuu wa EL. Hawa ndo walimuunga mkono EL katika harambee mbalimbali kwa kutegemea atakuwa rais waendeleze wizi wao. Kibao kimegeuka, ccm si ya EL tena, ni ya JPM, ni lazima waisome namba.

Hawa ndo waliharibu ccm kwa nguvu ya pesa yao kwa kuhonga viongozi huku wakinufaika kwa kutolipa kodi stahiki. Muda umefika, JPM ameshika mpini na halitasalia jiwe juu jiwe, milima yote itakuwa tambarare kwani tingatinga limeanza kazi.
 
Back
Top Bottom