Wakweli Wanasema, Wawekezaji Wanaondoka. Bado tunachekelea.

MAKA Jr

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
256
185
“Nasikia kelele na ukosoaji wa kila kilichofanywa kabla ya utawala huu. Ni hulka ya binadamu kudhani kuwa kila wazo lake ni bora kuliko wengine na atapenda kulitekeleza, hata ikimaanisha kwenda kinyume na taratibu zilizopo,” -Hashimu Rungwe.
 
Back
Top Bottom