Wakuzaa naye watoto tu!na sivinginevyo!.............

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Napenda kuuliza maana unasikia mtu anasema mimi mapenzi yetu hayakuwa ya kuzaa mtoto sasa kama umezaa mtoto mimi sijui!!!.....matokeo yake wanaopata tabu ni akina mama na watoto na pengine tunaendelea kuzalisha watoto wa mitaani...!!!
sasa basi kuna uwezekano ukapata mwanamke kwa ajili ya kukuzalia watoto??kama nchi zawenzetu wanaweza kwa nini tusiweze??
 
Mimi natafuta mmoja wa kuzaa naye tu.
 
Napenda kuuliza maana unasikia mtu anasema mimi mapenzi yetu hayakuwa ya kuzaa mtoto sasa kama umezaa mtoto mimi sijui!!!.....matokeo yake wanaopata tabu ni akina mama na watoto na pengine tunaendelea kuzalisha watoto wa mitaani...!!!
sasa basi kuna uwezekano ukapata mwanamke kwa ajili ya kukuzalia watoto??kama nchi zawenzetu wanaweza kwa nini tusiweze??

Kwani na wewe unahitaji wa kuzaa nae tu???
 
Kuna mama mmoja alishajitangaza humu anahitaji mtu wa kummimba tu baada ya hapo huyo mwanaume ashike lake na hata mtoto hatamuona,Ngoma droo...wakiwezeshwa wanaweza..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom