Wakuu Yetu Microfinance Bank Wameshaita watu?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Habari wadau,

Nauliza kama Yetu Microfinance bank wameshaita watu kufnnya interview kwa zile nafasi walizotangaza.
 
Kosa langu ni kukujulisha kuwa tayari tupo kazini? Usipaniki mrembo ukweli ndio huo tupo kazini sasa sijui ni taarifa ipi unayoitaka wewe.

NB
Kabadili pad itakuwa inakuunguza ndo maana unachachawa mrembo
Msamehe mkuu
 
Back
Top Bottom