Wakuu wote wa mikoa Tanzania waitwa Ikulu..............!!!

Status
Not open for further replies.

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Kuna habari kuwa wakuu wote wa mikoa nchini wameitwa ikulu Dar es Salaam. Taarifa ya kuitwa kwa ma-RC hao zinasema kuwa ni kutaka kukutana na mkuu wa magamba ili kutathmini mwenendo wa sirikali yao na pia kupata taarifa za mabadiriko makubwa yatakayofanywa na kiranja mkuu wa magamba kwa nyadhifa za wateule hao....
 
<br />
<br />
Source
 
ni kweli kabisa kuna walioambiwa wajiandae kupumzika sababu ya umri na kuna wengine watapumzishwa sababu ya poor performance
 
sidhani wala sitaki kuamini kuwa Magamba wana utamaduni kama huu, kama ni kweli basi utakua ni utamaduni mgeni, au naongopa jamani?
ni kweli kabisa kuna walioambiwa wajiandae kupumzika sababu ya umri na kuna wengine watapumzishwa sababu ya poor performance
 
Hana lolote la maana .Kuwaita Ikulu ni kama kuharibu fedha za walipakodi kama alivyofanya hapo nyuma kuwapeleka Ngurudoto.Huyu magamba hana jipya zaidi ya kuwaita na kuwachekelesha kama kawaida yake.Inamaana anawaita ili wamsaidie kufanya maamuzi ya kumuwajibisha Jairo na Luhanjo ?
 
Mradi end result ya kukutana kwao iwe kweli imelenga kuboresha na isiwe tu kuongeza
magharama ya wakuu hao ya wao kulipwa na kugharamiwa kule.... Pesa nyingi saana
inapotea kwa hizi meetings ambazo mijadala (matatizo yanajadiliwa presumably) but no unafuu....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom