Wakuu Where Do You Want Your Woman To Score The Highest Mark?

Hoshea

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
4,287
2,000
Most time I sat down thinking about this three subject in which all women must try to pass if she want to make a good wife.

The subjects are:- Cooking, Bed activities, Good character. Looking at this three woman subject all are almost compulsory for a woman to pass if she want to make a good wife.

The question now is as a guy or husband, Which of the above subject will you want your wife to score the highest mark so that u can be faithful to the relationship?
 

Jimjuls

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
471
250
Ungetumia kiswahili ingekuwa vyema zaidi.Sasa naona umevunja vunja kingereza hapo weeee hadi basi .Kwa mfano umeandika "Looking at this three woman" instead of "Looking at this three women".Mkuu wakati mwingine angalia uandishi wako kwa usahihi wakati mwingine.Ingawaje mada yako ni nzuri.Mimi napendelea mwanamke mwenye tabia njema zaidi.
 

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,613
2,000
Kutoka na mada hii pekee, anatakiwa kubalance kati ya bed activities na good characters. 'Food' ni kitu kinachofundishika hivyo hata kama hajui anaweza kufundishwa. Lakini good characters & bed activities kwa wengine ni ngumu kuwabadilisha kama hawana, maana kuna uasili fulani!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom