Wakuu Wenzangu wa JF Nimefiliwa na Dada yangu Mpenzi hii leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu Wenzangu wa JF Nimefiliwa na Dada yangu Mpenzi hii leo

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MziziMkavu, Apr 9, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Nawatoleeni salam wakuu wenzangu nimepatikana na msiba wa Dada yangu Mpenzi hapo Dars-salaam Vijibweni nawataarifuni wote ndugu zangu wana JF Dada yangu amefariki hii leo saa saba mchana alikuwa mgonjwa na amefariki kwa Umri wa miaka 57 Mungu amlaze pema peponi kama kuna Mtu atataka kuhudhuruia mazishi awasiliane na kaka yangu anayeitwa MR Abdulkadir namba yake ya simu ni hii 0784751850 na ataje jina langu (Saad) MziziMkavu kwa ajili ya mazishi mimi mwenyewe sipo hapo bongo nipo Ughaibuni sitoweza kuhudhuria mazishi Kiroho nitakuwa nao pamoja wafiwa asanteni sana
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  Pole sana Mzizi, ulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi....Mungu awape nguvu katika kipindi hiki cha msiba
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Pole besti yangu Mzizi.

  Ni kazi ya Mungu, haina makosa, iliyobaki ni kumwombea apate mapumziko mema!
  Tuko pamoja sana katika muda huu mgumu kwako, Mungu atakufariji ipasavyo!
   
 4. bht

  bht JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  pole sana mkubwa
  may God rest her soul in peace!
   
 5. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Pole sana mkuu kazi yamungu haina makosa, tutazidi kumwombea ili mwenyezi mungu aipunzishe roho yake pahali pema peponi
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,798
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Pole sana Mzizi

  RIP : Dada Yetu Mpendwa
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Pole sana mpendwa mwenyezi mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi
  Amen
   
 8. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2010
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mlimpenda lakini Mungu kampenda zaidi.Mwenyezi Mungu aiweke mahali pema pepono roho ya marehemu.Amen
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,262
  Likes Received: 21,978
  Trophy Points: 280
  Pole sana kka,
  tuko pamoja kwenye hili janga gumu lililokufika.
  Kufiwa hakuna mwenyewe
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Pole sana ni safari yetu sote dada katutangulia!
   
 11. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu! kumbuka binadamu sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi..faraja ya bwana ikutangulie..

  RIP dear sister!
   
 12. J

  Jafar JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Pole sana
  mungu awape nguvu na uvumilivu
  tulimpenda sana lakini mwenyewe amempenda zaidi
   
 13. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu...Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu,marehemu apumzike kwa amani
   
 14. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Pole sana Saad pole. Mungu akupe ujasili wa kuishinda huzuni.
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Pole sana ustaadh..

  RIP dada'ke Saad
   
 16. B

  Bibi Kizee JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2010
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  pole sana! Mungu awape subira wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu! hayo ni mapenzi ya mungu!
   
 17. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mungu ampe pumziko la milele. Apumzike kwa amani, amina
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkuu pole sana, mungu atawafariji katika siku hizi za majonzi.
   
 19. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  pole sana mpendwa wote,mungu akutie nguvu.
   
 20. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #20
  Apr 11, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mungu awape faraja nyie mliobaki.
   
Loading...